Tetesi: Rais wa Somalia atua kwa dharura nchini, akwepa kutunguliwa

Tetesi: Rais wa Somalia atua kwa dharura nchini, akwepa kutunguliwa

Status
Not open for further replies.
Moderators mambo mengine SI lazima tuyaweke ili kuchangia Amani somalia .Ondoeni huu Uzi.Yabakie huko huko sirini
....atue kwenye aridhi yetu alafu iwe siri! Nchi hii ni Mali ya watanzani wana haki yakujua kila ajae na anae toka.
 
Tunawajibika kulinda usalama wa mtu mwingine ujue chukulia majambazi wanavamia nyumbani kwako unakimbilia makaburini kujificha halafu unaona jamiii forums wamepost muda huo hup kuwa uko makaburini umejificha wakati hata majambazi yanasoma jamii forums huko ulikojificha si utaanza kujiharishia na kkumlaani aliyepost?
Hata hao wangefanya siri lengo la kumtungua lingefanikiwa haikuwa siri
 
Moderators mambo mengine SI lazima tuyaweke ili kuchangia Amani somalia .Ondoeni huu Uzi.Yabakie huko huko sirini
Tunapowaambia kuhusu mpenda sifa, mtembea na Ilani za ichaguzi, mvaa vitambaa vya bendera ya Taifa kwenye suti.
Unadhani Nani kapost kama siyo huyo mpenda sifa ili aonekane kampokea Rais? Leo Waziri kumpokea Rais imekuwa Kiki!!
Ze Kiki!!!
 
Usalama wa nchi ukoje kwa kumuanika wazi wazi yeye sawa Yuko salama je kwetu Kama nchi hatujiweki pabaya?
....unahofia usalama wakati kila siku tunaambiwa tutembee vifua mbele nchi iko salama!! au hukuona makomando wetu wanapasua tofari uwanja wa taifa? hahahaaa nyie kijani mbona waoga sana
 
Kama unajua hapa in mahali safe kwa nn unataka pawe na usiri wa namna hyo? Ni haki yetu pia kujua
Ili paendelee kuwa safe Kuna mengine yanatakiwa kuwa Siri.Amani pia hulindwa.Na ulinzi mmojawapo Ni kuficha Siri ya uwepo wa huyo raisi wa somalia
 
They say "Scratch my back , tommorow I will scratch yours"
 
Tuwe makini. Wema unaweza kutuponza, nchi yetu isije kuwa target ya Alshabab.
 
mana hamna namna kila mtu ataelewa tu mwaka huu hata uwe na kichwa ngumu vip
IMG_20190528_232700.jpg
 
mana hamna namna kila mtu ataelewa tu mwaka huu hata uwe na kichwa ngumu vip View attachment 1110925

Nasikia Choo cha katika Ndege yake Kilijaa ' Nnya ' na Yeye alikuwa amebanwa na Haja Kubwa hivyo akaomba Kwanza Kutua kwa Dharura ili awahi VIP kwenda Kujisaidia ( Kunya ) ila akaambiwa hawezi Kupewa Ufunguo wa Chooni mpaka Kwanza amsifu na kumtukuza Baba Yohana wa Geita na kwakuwa ' Nnya ' yake ilikuwa Mlangoni kabisa inagonga na kurudi ikamlazimu akubaliane na ' Sharti ' japo Ndege ilipoondoka na Kupaa kabisa Angani nasikia alijilaumu mno.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom