Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Rais wa jumuiya ya wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania Bwana Geofrey Kiliba asema kwamba Mwaka 2025 ni mwaka wa Uchaguzi na hakuna anayeweza kurudisha nyuma Watanzania katika kushiriki mchakato huo muhimu ndani ya Taifa.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Amezungumza hayo na waandishi wa habari mara baada ya kuwaapisha Makamishna na Naibu makamishna wa Tahliso mkoani Dodoma.