PreGE2025 Rais wa TAHLISO: Jina la chawa linalenga kuwarudisha nyuma wanaopongeza juhudi za serikali, kuipongeza serikali si dhambi

PreGE2025 Rais wa TAHLISO: Jina la chawa linalenga kuwarudisha nyuma wanaopongeza juhudi za serikali, kuipongeza serikali si dhambi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Jina la chawa linalenga kuwarudisha nyuma wanaopongeza juhudi za serikali, kuipongeza serikali si dhambi - rais wa tahliso

Sehemu ya Mahojiano ya Rais wa Tahliso Ndg Geofrey Kiliba na Waandishi wa kipindi cha 360 kutoka Clouds tv.

 
Huyu jamaa daily anafanya mahojiono, yeye anasoma saa ngapi? au ameisha ambia apeleke tu cheti?
 
Jina la chawa linalenga kuwarudisha nyuma wanaopongeza juhudi za serikali, kuipongeza serikali si dhambi - rais wa tahliso

Sehemu ya Mahojiano ya Rais wa Tahliso Ndg Geofrey Kiliba na Waandishi wa kipindi cha 360 kutoka Clouds tv.
Mbona hata Samia mwenyewe analitumia hilo jina,aliwahi kusema kuwa hata nisipowajibu chawa wangu watawajibu
 

Attachments

  • images (93).jpeg
    images (93).jpeg
    50.5 KB · Views: 24
Samia mwenyewe alisema kuna chawa wake huyu Kilaza anaongea nini.
 
Back
Top Bottom