Rais wa Taiwan ajitapikia akiwa kwenye maadhimisho ya sikukuu

Rais wa Taiwan ajitapikia akiwa kwenye maadhimisho ya sikukuu

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,101
Reaction score
38,487
Hivi hawa wazee nilijua Afrika tu hadi hizi nchi za Taiwan

Huyu mzee kajichokea amejitapikia dakika chache tu baada ya kusimama na wenzie kusimama kuadhimisha sikukuu yao.
 

Attachments

  • Screenshot_20260219-150216_Lite.jpg
    Screenshot_20260219-150216_Lite.jpg
    170.8 KB · Views: 21
  • Screenshot_20260219-150213_Lite.jpg
    Screenshot_20260219-150213_Lite.jpg
    172.9 KB · Views: 31
  • Screenshot_20260219-150210_Lite.jpg
    Screenshot_20260219-150210_Lite.jpg
    173.2 KB · Views: 29
  • Screenshot_20260219-140553_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20260219-140553_WhatsApp.jpg
    98.5 KB · Views: 20
  • Screenshot_20260219-150205_Lite.jpg
    Screenshot_20260219-150205_Lite.jpg
    175.6 KB · Views: 28
Hubert Walker Bushi Rais wa 41 wa Marekani alitembelea Japani, wakiwa wanapata chakula cha pamoja alitapika. Tangu hiyo siku wajapani wakapata neno jipya "BUSHISURU" maana yake kutapika hadharani.
 
Si afadhar huyo vipi yule aloyejikojolea.hadharani kile sudan ya kusin ( salva kiiri)

Naye utasemaje
 
Nyie mmeona akitapika tu, hamjaambiwa kilichotokea kwenye chupi.
 
Hii nchi ina watu wajinga wengi sana inasikitisha.
 
Back
Top Bottom