Rais wa TEC atoa ujumbe wa Kwaresma, asisitiza Watanzania kuchukua tahadhari dhidi ya COVID-19

Rais wa TEC atoa ujumbe wa Kwaresma, asisitiza Watanzania kuchukua tahadhari dhidi ya COVID-19

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
20210216_215459_0000.png


Askofu Nyaisonga kutoka Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) asema wanatambua Dunia nzima inahangaika kupambana na maradhi ya #COVID19 yanayosabishwa na #VirusiVyaCorona

Awahimiza Watanzania kutokuwa watumwa wa hofu na kuchukua tahadhari. Asema ni wajibu wa kila mtu kuufuata ukweli na ushauri wa Wataalamu wa Afya

Amefafanua kuwa ushauri huo ni kunawa mikono mara kwa mara, kutokugusana au kutosalimia kwa mikono na kuepuka misongamano
 
Duuuh..

sasa mbona anapingana na mkuu wa malaika... Jiwe.
 
Kesho baraza watamkana baada ya leo/ baadae kupewa badua ya vitisho na kukanusha
 
Back
Top Bottom