johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kiukweli hii sasa ni siasa, Rais wa TFF amewaonya waandishi wa habari watakaohudhuria mikutano wa Rais wa FIFA atakayewasili nchini hivi karibuni kutomuuliza Rais huyo swali lolote kuhusu Zanzibar. Source Star tv habari. Mytake; najiuliza tu Rais wa TFF anapata wapi madaraka ya kuwapangia waandishi aina ya maswali ya kuuliza?!!