johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mkuu umetuacha njia panda!Kutoka kwa mama cannula
Hahahaa anadhani Tanzania ni kisiwa!Sasa kwani Rais wa FIFA hajui chochote kuhusu Zanzibar,akili mbovu za uyo Rais wenu wa TFF
Dah mkuu apa nimetoka kapaKutoka kwa mama cannula
Usiwaponze wenzioSasa hilo ndiyo liwe swalinla kwanza kabisa kumuuliza huyo rais wa Fifa.
Na amekuja huku shithole kufanya nini??
Watakimbiza mbawa zao maana yanawakuta mengi.Sasa hilo ndiyo liwe swalinla kwanza kabisa kumuuliza huyo rais wa Fifa.
Na amekuja huku shithole kufanya nini??
huyo sijui mama cannula ndo nani namsikia sikiaKutoka kwa mama cannula
Mkuu Didas anapaswa kututegulia hiki kitendawili!huyo sijui mama cannula ndo nani namsikia sikia
He is right, kwa sababu ki Fifa, Zanzibar doesn't exist. Kififa nchi ni moja tuu, JMT.Kiukweli hii sasa ni siasa, Rais wa TFF amewaonya waandishi wa habari watakaohudhuria mikutano wa Rais wa FIFA atakayewasili nchini hivi karibuni kutomuuliza Rais huyo swali lolote kuhusu Zanzibar. Source Star tv habari. Mytake; najiuliza tu Rais wa TFF anapata wapi madaraka ya kuwapangia waandishi aina ya maswali ya kuuliza?!!
sasa haya majina yenu ya darisalam sisi wa huku ghamboshi hatuwezi kuyang'amua kirahisi si lazima tuanze kutumia mitambo yetu ya kiufundi inatugharimu rasilimaliwatu kibaoMkuu Didas anapaswa kututegulia hiki kitendawili!
Kiukweli hii sasa ni siasa, Rais wa TFF amewaonya waandishi wa habari watakaohudhuria mikutano wa Rais wa FIFA atakayewasili nchini hivi karibuni kutomuuliza Rais huyo swali lolote kuhusu Zanzibar. Source Star tv habari. Mytake; najiuliza tu Rais wa TFF anapata wapi madaraka ya kuwapangia waandishi aina ya maswali ya kuuliza?!!
Kiukweli hii sasa ni siasa, Rais wa TFF amewaonya waandishi wa habari watakaohudhuria mikutano wa Rais wa FIFA atakayewasili nchini hivi karibuni kutomuuliza Rais huyo swali lolote kuhusu Zanzibar. Source Star tv habari. Mytake; najiuliza tu Rais wa TFF anapata wapi madaraka ya kuwapangia waandishi aina ya maswali ya kuuliza?!!
ndo awapangie watu cha kuuliza!?..hilo jibu huyo rais wa FIFA hawezi kulitoa?He is right, kwa sababu ki Fifa, Zanzibar doesn't exist. Kififa nchi ni moja tuu, JMT.
Ni sawa na kumuuliza SG wa UN kuhusu kiti cha Zanzibar.
P
Nashukuru mkuu johnthebaptist umeliona hili.Kiukweli hii sasa ni siasa, Rais wa TFF amewaonya waandishi wa habari watakaohudhuria mikutano wa Rais wa FIFA atakayewasili nchini hivi karibuni kutomuuliza Rais huyo swali lolote kuhusu Zanzibar. Source Star tv habari. Mytake; najiuliza tu Rais wa TFF anapata wapi madaraka ya kuwapangia waandishi aina ya maswali ya kuuliza?!!