Rais wa TFF amewaonya waandishi wa habari kutomuuliza swali lolote Rais wa FIFA kuhusu Zanzibar!

Huyu rais wa TFF wakati anachaguliwa nilikuwa nikidhani kuwa atakuwa mtu wa maana kwenye kuendeleza soka la nchi hii ni lakini nimekuja kugundua kuwa naye kumbe ni mjinga mjinga tu

Tokea nachaguliw ana ukiangalia historia yake huyu ni kada na subiri akitoka hapo nauwakika anaenda kugombea ubunge huyu kwa ccm.
 
Mambo kama haya kweli tutaweza shiriki hata fainali za AFCON au World Cup?!
Kweli kichwa cha mwendawazimu..
Taulo la kipa wa Njombe Mji lilivyozua kizaazaa dimba la Sabasaba via YouTube
 
Safi karia hawachelewi kujifanya nawao wanastahili uwanachama wa FIFA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…