Wildlifer JF-Expert Member Joined May 12, 2021 Posts 1,884 Reaction score 5,235 Jul 4, 2023 #21 Kupeleka match hizi mikoani kunaamsha spirit ya michezo haiwezekani match ziwe dar na mwanza tu. ila uzoefu, simba na yanga popote nchi hii utajaza uwanja.
Kupeleka match hizi mikoani kunaamsha spirit ya michezo haiwezekani match ziwe dar na mwanza tu. ila uzoefu, simba na yanga popote nchi hii utajaza uwanja.
S Sambusa kavu JF-Expert Member Joined May 4, 2015 Posts 806 Reaction score 1,296 Jul 4, 2023 #22 tunarudisha fadhira kwa wananchi wa Tanga Karia anafuata maelekezo tu kutoka kwa wakubwa,kwani mnajifanya hamjiu kwamba Naibu Waziri wa michezo ametokea wapi 🤪
tunarudisha fadhira kwa wananchi wa Tanga Karia anafuata maelekezo tu kutoka kwa wakubwa,kwani mnajifanya hamjiu kwamba Naibu Waziri wa michezo ametokea wapi 🤪