Rais wa TFF asipodhibitiwa kuna siku atapeleka mechi ya Simba Vs Yanga uwanja wa Kinesi au Bandari

Rais wa TFF asipodhibitiwa kuna siku atapeleka mechi ya Simba Vs Yanga uwanja wa Kinesi au Bandari

Kupeleka match hizi mikoani kunaamsha spirit ya michezo haiwezekani match ziwe dar na mwanza tu.

ila uzoefu, simba na yanga popote nchi hii utajaza uwanja.
 
tunarudisha fadhira kwa wananchi wa Tanga

Karia anafuata maelekezo tu kutoka kwa wakubwa,kwani mnajifanya hamjiu kwamba Naibu Waziri wa michezo ametokea wapi 🤪
 
Back
Top Bottom