Rais wa TFF autaka uongozi wa Yanga kutengua uamuzi wa kujitoa Kagame Cup ndani ya saa 48 zijazo

Rais wa TFF autaka uongozi wa Yanga kutengua uamuzi wa kujitoa Kagame Cup ndani ya saa 48 zijazo

Yanga kakimbia mziki wa simba, anajua fika hawezi kutoka mbele ya simba kwa hali aliyonayo.
 
Yanga wakiingia uwanjani wanakua na matokeo mkononi, ndio maana wanajiondoa
 
Mmmmh Ratiba inatubana Sana ndo maana Yanga sisi mashabiki tumelizia kwa Yanga kujitoa kagame
 
Back
Top Bottom