Blueprint 9 JF-Expert Member Joined Jul 3, 2017 Posts 798 Reaction score 1,381 Jun 10, 2018 #41 digalangosha said: Eti wamebanwa na ratiba, timu haina hata pesa sasa inakuaje busy....bora hata singida Click to expand... Manji anarudi leo mtege masikio
digalangosha said: Eti wamebanwa na ratiba, timu haina hata pesa sasa inakuaje busy....bora hata singida Click to expand... Manji anarudi leo mtege masikio
kibol JF-Expert Member Joined Apr 24, 2012 Posts 4,521 Reaction score 2,747 Jun 10, 2018 #42 Yanga kakimbia mziki wa simba, anajua fika hawezi kutoka mbele ya simba kwa hali aliyonayo.
N nyangusa Member Joined Dec 4, 2017 Posts 46 Reaction score 26 Jun 10, 2018 #43 Yanga wakiingia uwanjani wanakua na matokeo mkononi, ndio maana wanajiondoa
Yangadamu Senior Member Joined Mar 23, 2018 Posts 164 Reaction score 107 Jun 10, 2018 #44 Mmmmh Ratiba inatubana Sana ndo maana Yanga sisi mashabiki tumelizia kwa Yanga kujitoa kagame
Dr Matola PhD JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 60,050 Reaction score 104,466 Jun 10, 2018 #45 kibol said: Yanga kakimbia mziki wa simba, anajua fika hawezi kutoka mbele ya simba kwa hali aliyonayo. Click to expand... Simba ipi? Hii iliyokuwa inaikatia mauno Gor Mahia.
kibol said: Yanga kakimbia mziki wa simba, anajua fika hawezi kutoka mbele ya simba kwa hali aliyonayo. Click to expand... Simba ipi? Hii iliyokuwa inaikatia mauno Gor Mahia.