Dotto Mnzava
R I P
- Mar 6, 2014
- 864
- 427
Bora ajiuzulu....
Utaanzia wapi??! unaijua katiba ya FIFA? haikuwekwa vile ki bahati mbaya, ni makusudically, na ndio maana wanamtetea sana Blatter, ukihoji kidogo, ohho mambo ya mpira ni marufuku kupelekwa mahakamani!! ndicho kinachowapa kibuli. Tatizo la tz kila kitu tunataka kuleta usanii!! kuna vingine usanii haukubali!!! michezo ni maandalizi, bora hata nyambui, ameitwa huko BRUNEI, Kuwamkufunzi wa riadha na atakuwa chini ya wizara ya michezo ya huko, kwani hapa amechoka, michuano kesho, unapewa pesa leo kuandaa timu ya riadhaa, ikishindwa lawama ni kwako, pesa nyingi wamewekeza kwenye soka ambalo limetushinda, na ktk timu za east and central africa, taifa stars ndio timu pekee yenye ufadhiri mkubwa, lakini ndio timu bogus tena!!!!ili washabiki wa soka la Tanzania tulidhike ni lazma malinzi ajiuzulu, la sivyo tutampindua kama nkurunzinza,, yaani malinzi ndio kaja kuua soka la bongo hao wengine wote wanasingiziwa
Hawezi kujiuzulu...Atakuja na sound zingine za kipuuzi kama kawaida.
Na mitanzania tulivyo...Nothing will happen.
Mitanzania ndivyo tulivyo....Kwa hisani ya Nyani Ngabu.
Acha kutukana watanzania, utatukanwa pia. You should not generalize