Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Leo ilikuwa fainali ya ligi daraja la kwanza kati ya mshindi wa kundi A na B, Mbeya kwanza vs Geita Gold. Geita inayonolewa na Minziro imeshinda. Sasa wakati Fred anaenda kuchukua tuzo yake Karia alihakikisha hampi mkono Baba Isaya.
Hata kama wanatofauti zao,ila Karia kama kiongozi amefanya utoto sana,kiongozi huwezi kufanya vile.
Hata kama wanatofauti zao,ila Karia kama kiongozi amefanya utoto sana,kiongozi huwezi kufanya vile.