Rais wa TFF Karia ana tatizo gani Kocha Fred Felix Minziro? Tazama video hii

Rais wa TFF Karia ana tatizo gani Kocha Fred Felix Minziro? Tazama video hii

Hapo ndiyo naanza kuamini, jamaa sio mtanzania, watanzania hawana roho mbaya kama hiyo. Yaan video inaonesha aliposikia Jina la Fred akafura,alichukia mno, na alivyozuga kupokea mkono, kwa kuangalia nyuma na baada ya Fred kuondoka akazuga kwa kuangalia alikotoka, chuki chuki juu ya chuki.Bora angempa tano kuliko kufanya hivyo.Huyo ndio akuze soka nchini wakat wadau wa soka anawachukia, tangu awe madarakani ktk rank ya fifa tz ipo pale pale 135/136/137.
Huyu ni Msomalia hivyo hizo tabia ni utamaduni wao wa kuchukiana nakulipa visasi
 
Tatizo hutumii akili hata kwenye mambo madogo.
Labda mambo ya covid19, yawezekana Karia ana kipimo chake cha mwili cha kuhisi covid19. Halafu, mgeni rasmi kwenye mechi kubwa kama ile uvaaji gani huo!? Lakini kuna mtu alikuwa anazunguka nyuma ya hao waheshimiwa yawezekana alimdistract akashindwa kumpa mkono Baba Isaya.
===
Hata hivyo, kama alidhamilia ni kitendo kiovu na chapaswa kulaaniwa.
 
chunga domo lako, mi ni kiongozi mkubwa sana wa taifa hili
Hata Yule wa uhamiaji nae alijiita Boss watakukuru acha kutisha watu kijinga hapa Kama huwezi kujibiwa tofauti toka kaa pembeni na uongozi wako, ungekuwa kiongozi mwenye nidhamu na heshima hata kwenye uzi huu usingekuwepo.
 
Huyo ndie Rais wa mpira wetu, anatakiwa ajiuzulu kwa huo utoto wa kiwango cha juu alichofanya, hafai kuwa kiongozi wa mpira kama anawatenga wengine, Karia kauaibisha mpira wa Tanzania.
 
Rais wa TFF Walace Karia akikataa kumpa mkono Coach Fred Ferix Minziro baada ya kutangazwa kuwa kocha Bora wa ligi Daraja la kwanza baada ya timu yake kuwa Mabingwa wa fainal ya ligi daraja kwanza baada ya kuifunga Geita 1.0
Screenshot_20210531-073345.jpg
 
Huyo ndie Rais wa mpira wetu, anatakiwa ajiuzulu kwa huo utoto wa kiwango cha juu alichofanya, hafai kuwa kiongozi wa mpira kama anawatenga wengine, Karia kauaibisha mpira wa Tanzania.
Atarudi tena maana wajumbe wote amewaweka mfukoni
 
Bila shaka we ni UTOPOLO.
Acha propaganda za kipumbavu.
Karia mitano tena!!
Akili ni nywele kila mtu ana zake, kama hiyo video imetengenezwa kipropaganda basi Rage maneno yake yataendelea kuishi
 
Kuifunga mbeya kwanza,na sio geita,nikweli hata Mimi sikuelewa kwa Nini hakumpa mkono.
 
Rais wa TFF Walace Karia akikataa kumpa mkono Coach Fred Ferix Minziro baada ya kutangazwa kuwa kocha Bora wa ligi Daraja la kwanza baada ya timu yake kuwa Mabingwa wa fainal ya ligi daraja kwanza baada ya kuifunga Geita 1.0View attachment 1803218
Wabongo kwa kugombanisha watu, wewe hauoni hiyo direction aliyotazama? Weka video tuone
 
Jama alidhamiria kutokumpa mkono Minziro ni kosa kubwa sana kwa kiongozi kuonyesha chuki binafsi, lakini kama huyo jamaa wa nyuma ndio kisababishi mpaka tukio hilo kupita bila kutoa mkono tutamsamehe.

Ni vizuri na yeye mwenyewe kama kiongozi alitolee ufafanuzi, najua wakati wa Uchaguzi wa TFF umefika sasa.
 
Back
Top Bottom