Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Mwana CCM huyo, so ni kawaida yao.Huyu Msomali amekosea hata kama wanabifu ila siyo sawa kwa kiongozi
Jamaa hii tabia sijui kaipata wapi maana watanzania hatuna tabia hizi za kikaburu.Karia ni mjinga sana, kaibania GeitaGold mda mrefu sana, sass imetoboa yamemshuka.
Tatizo hutumii akili hata kwenye mambo madogo.Write your reply...kama Mbowe anavyokwepa kusalimiana na CCM
Kusalimiana na CCM ndiyo kufanyajeWrite your reply...kama Mbowe anavyokwepa kusalimiana na CCM
Mbowe kasema wachaga hawaajiriwi serikalini. Wamawia wameajiriwa wangapi serikalini?Tatizo hutumii akili hata kwenye mambo madogo.
Chunga domo lako, mi ni kiongozi mkubwa sana wa taifa hiliWazazi wana hasara jamani. Sasa na wewe wanasema tuna mtoto.........................
Njoo Dodoma nikupe kazi hata ya kufagia ofisiAkili zako zipo masaburini
Kwa Hiyo Mbowe ni kiongozi wa wachaga au msemaji wa wachaga peke yao sio? Tutawarudishia dada zao tuchokozeni tu.Mbowe kasema wachaga hawaajiriwi serikalini.... wamawia wameajiriwa wangapi serikalini?
Hapo ndiyo naanza kuamini, jamaa sio mtanzania, watanzania hawana roho mbaya kama hiyo. Yaan video inaonesha aliposikia Jina la Fred akafura,alichukia mno, na alivyozuga kupokea mkono, kwa kuangalia nyuma na baada ya Fred kuondoka akazuga kwa kuangalia alikotoka, chuki chuki juu ya chuki.Bora angempa tano kuliko kufanya hivyo.Huyo ndio akuze soka nchini wakat wadau wa soka anawachukia, tangu awe madarakani ktk rank ya fifa tz ipo pale pale 135/136/137.Nijambo la kuvunja moyo kuona kiongozi mkubwa sana wa ngazi za juu wa soka anayafanya haya.
Rais wa TFF WALLACE Karia amefanya ubaguzi wa kisiasa za simba na yanga tena wa kijinga.
Tazameni anavyo mkwepa Fredy Minziro ili wasipeane mikono kisa siasa za soka la bongo.
Hii haileti afya bora ya maendeleo ya soka hapa nchini.View attachment 1803138
Mkuu wewe ni shabiki wa soka kweli au unaendeshwa na mihemko tu,,Karia ni mjinga sana, kaibania GeitaGold mda mrefu sana, sass imetoboa yamemshuka.
chunga domo lako, mi ni kiongozi mkubwa sana wa taifa hili
Kwani mbona unamshobokea sana Mbowe?Hata Mbowe sio binadamu. . mwambie aachie na wengine uenyekiti wa chama
Kuzaa siyo kupataWazazi wana hasara jamani. Sasa na wewe wanasema tuna mtoto.........................