Rais wa TFF Karia ana tatizo gani Kocha Fred Felix Minziro? Tazama video hii

Huyu ni Msomalia hivyo hizo tabia ni utamaduni wao wa kuchukiana nakulipa visasi
 
Tatizo hutumii akili hata kwenye mambo madogo.
Labda mambo ya covid19, yawezekana Karia ana kipimo chake cha mwili cha kuhisi covid19. Halafu, mgeni rasmi kwenye mechi kubwa kama ile uvaaji gani huo!? Lakini kuna mtu alikuwa anazunguka nyuma ya hao waheshimiwa yawezekana alimdistract akashindwa kumpa mkono Baba Isaya.
===
Hata hivyo, kama alidhamilia ni kitendo kiovu na chapaswa kulaaniwa.
 
chunga domo lako, mi ni kiongozi mkubwa sana wa taifa hili
Hata Yule wa uhamiaji nae alijiita Boss watakukuru acha kutisha watu kijinga hapa Kama huwezi kujibiwa tofauti toka kaa pembeni na uongozi wako, ungekuwa kiongozi mwenye nidhamu na heshima hata kwenye uzi huu usingekuwepo.
 
Huyo ndie Rais wa mpira wetu, anatakiwa ajiuzulu kwa huo utoto wa kiwango cha juu alichofanya, hafai kuwa kiongozi wa mpira kama anawatenga wengine, Karia kauaibisha mpira wa Tanzania.
 
Bila shaka we ni UTOPOLO.
Acha propaganda za kipumbavu.
Karia mitano tena!!
 
Rais wa TFF Walace Karia akikataa kumpa mkono Coach Fred Ferix Minziro baada ya kutangazwa kuwa kocha Bora wa ligi Daraja la kwanza baada ya timu yake kuwa Mabingwa wa fainal ya ligi daraja kwanza baada ya kuifunga Geita 1.0
 
Huyo ndie Rais wa mpira wetu, anatakiwa ajiuzulu kwa huo utoto wa kiwango cha juu alichofanya, hafai kuwa kiongozi wa mpira kama anawatenga wengine, Karia kauaibisha mpira wa Tanzania.
Atarudi tena maana wajumbe wote amewaweka mfukoni
 
Bila shaka we ni UTOPOLO.
Acha propaganda za kipumbavu.
Karia mitano tena!!
Akili ni nywele kila mtu ana zake, kama hiyo video imetengenezwa kipropaganda basi Rage maneno yake yataendelea kuishi
 
Kuifunga mbeya kwanza,na sio geita,nikweli hata Mimi sikuelewa kwa Nini hakumpa mkono.
 
Rais wa TFF Walace Karia akikataa kumpa mkono Coach Fred Ferix Minziro baada ya kutangazwa kuwa kocha Bora wa ligi Daraja la kwanza baada ya timu yake kuwa Mabingwa wa fainal ya ligi daraja kwanza baada ya kuifunga Geita 1.0View attachment 1803218
Wabongo kwa kugombanisha watu, wewe hauoni hiyo direction aliyotazama? Weka video tuone
 
Jama alidhamiria kutokumpa mkono Minziro ni kosa kubwa sana kwa kiongozi kuonyesha chuki binafsi, lakini kama huyo jamaa wa nyuma ndio kisababishi mpaka tukio hilo kupita bila kutoa mkono tutamsamehe.

Ni vizuri na yeye mwenyewe kama kiongozi alitolee ufafanuzi, najua wakati wa Uchaguzi wa TFF umefika sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…