SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Hii iko chini sana ya kiwango chako mkuuBora tu wangemfungia geti, ili ijulikane moja. Ana nongwa sana huyu jamaa dhidi ya Yanga.
Angeenda zake Malawi kwa wale ndugu zake, hakuna ambaye angeshangaa.
Unafanana na kinyesi mkuuMwanaume kapambana sasa hivi Tanzania inapeleka team nne halafu misekule ya hersi inauliza simba ana mafanikio gani kimataifa wakati hizo nafasi nne hamna point moja ya utopolo hapo.
Walitakiwa wasimruhusu kufika avic. Wangeonesha hasira iliyopoRais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF Wallace Karia ametembelea Kambi ya Yanga Avic Town na kushuhudia mazoezi ya klabu hiyo kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Zalan FC utakaofanyika kesho kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es salaam
Karia kwenye mazungumzo yake na kikosi hicho, amesema kuwa ana hakika kuwa timu hiyo itafanya vizuri kwa namna alivyowaona wakicheza mechi za Ligi, huku akiviombea vilabu vya Tanzania kushinda michezo yao na akitaka nafasi nne Kimataifa zilindwe.
"Nataka hizi nafasi nne Kimataifa tuzilinde" amesema Wallace Karia
View attachment 2351872
Unaposema raisi ni vema uka specify unazungumzia nani? Kama ni hili jitu hakuna athari yoyote kumzuia kuingia kwenye mazoezi ya timu tema ana wa distract wachezaji na vururuga program za walimu. Akwende Malawi akawasidie ndugu zake ukoUnajua athari ya kumzuia Raisi wa TFF kwenye issue ya mpira?viongozi wako sio mazuzu kumruhusu.Karia atazuiliwa kuingia nyumbani Kwa manara sio Kambi ya team yoyote ya mpira wa miguu au uwanjani kikiwa kinapigwa