Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Wallace Karia amesema Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) wanampenda Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassani kutokana na juhudi zake za kuwekeza katika michezo ikiwemo mpira wa miguu.
Karia ametoa kauli hiyo jijini Arusha wakati serikali ikiingia mkataba wa ujenzi wa Kiwanja cha Michezo cha cha kisasa Cha Arusha Council Sports Complex ambacho kitajengwa eneo la Bondeni City na kitabeba watu kati ya 8000-10000 walioketi.
Amesema hata wanaojaribu kushtaki FIFA kama wanavyoshtaki hawatafanikiwa kwa kuwa serikali inafanya kazi kubwa.
Uwanja huo utakuwa umezunguukwa na viwanja vya mpira wa kikapu 2, uwanja wa mpira wa wavu 1 na viwanja vya tenisi 2