Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Rais wa TLS kupitia ukurasa wake rasmi wa Mtandao wa x ameandika chaisho linaoonekana likiunga mkono hukumu iliyotolewa kwa Nyundo, Askari wenzake dhidi ya Binti wa Yombo. Katika andiko hilo Mwabukusi ameandika:
Justice at Last. Hii haswa ndiyo sehemu ya utawala wa sheria sina sababu ya msingi ya kutofurahia hukumu hii ya Haki.Japo next time Mahaka isizuie wadau wa haki ili haki ionekane ikitendeka.Wamevuna walichostahiki.
PIA SOMA- Nyundo na wenzake wakutwa na hatia, wahukumiwa kifungo cha Maisha Jela