Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, anatoa tamko muda huu. Tamko hili linahusu masuala muhimu yanayogusa sekta ya sheria, haki za binadamu, na maendeleo ya taifa kwa ujumla.

SWALA LA UTEKAJI WANANCHI WOTE WANGELICHIKUALIA UZITO WA KIPEKEE NA KUANDAMANA. HAKUNA ALIE SALAMA. MTU FULANI UKIKOSANA NAE TU HATA HUMU MFANO HUYU choice nini huyu,tayari anaenda kureport uende na maji. Swala la UTEKAJI limevuka kiwango,hatuko salama