Nawashauri TLS kumshauri Rais wao Mwabukusi kujiepusha na siasa chafu za chadema.
Kweli katiba inamruhusu kushabikia Upande anaotaka lkn yeye kama kiongozi wa mawakili nchini na anaeongoza Taasisi alioita pinzani kwa ccm ni vizuri kukaa kimya katika kipindi hichi, kuegemea kwa LISSU huku kutoa manano ya kejeli kwa Mwenyekiti sio dalili njema kwake.
Ndani ya chadema kuna mawakili wengi wanaomuunga mkono Mbowe.
Sababu ya kumshauri
Ataepusha mgogoro wa uongozi kati ya chadema na TLS
Pia baada ya uchaguzi chadema na mbowe kushinda pana uwezekano mkubwa kusukwa zengwe na chadema ili kuhakikisha Mwambukusi anatikishwa TLS kwa kutumia Mawakili wa chadema na waliokuwa against yeye.
Unapokuwa kiongozi unatakiwa utumie akili nyingi kuliko uanaharakat
Ajirupishe tabia za akina
Mdude
Maria
Fatma Shangazi
Jabra
Madeleka
Hao hawamuongozi mtu
Juu ya yote Lakini ujiulize
1. Mbona viongozi wa Yanga na Simba kimya?
2. Madaktari?
3. Jukwaa la wahariri?
4. MOAT?
Mbona yeye tu?
Lao Tzu (Mwanafalsafa wa Kichina)
"He who does not interfere with others is the best leader."
Baada ya uchaguzi kwisha.
Mwambukusi atafanya kazi na Chadema? Au atamfata lissu Chauma?
Ni mimi wenu team Mbowe