Rais wa TLS (Mwabukusi) anaikosea heshima TLS

Kama wewe ulivyojipambanu kuwa ni Timu Mbowe, acha Mwambukusi naye ajipambanue kuwa ni Timu Lissu.

Kila mtu ana uhuru wa kuchagua upande anaoona unafaa
Mwambukusi baada ya uchaguzi wa chadema ajiandae mgogoro TLS.
MANDELA AMESEMA
Intervention in others’ affairs must only be done when justice and humanity demand it."
Mandela aliamini kwamba uingiliaji wa
 
Chadema ni nyumba ya Kambale, kila mtu ana sharubu!
 
Ndio maana ilihitajika nguvu ya ziada kutoka kwa Nyerere kwenda kuikomboa nchi yake.

Maana yake the so called BUSARA was useless at that time.

Hiyo inatuonesha kuwa "BUSARA" mbele ya wakandamizaji wa haki haiwezi kukupa suluhisho katika safari yako ya ukombozi.

BUSARA ya kufikia hatua kuwapongeza kwa kuwapa TUZO wale ambao wamehusika kwenye matukio ya wizi wa kura, huo ni upimbi.
 
Mwabukusi amefanya kosa kubwa kuside upande wakati yeye ni kiongozi wa umma, labda atuambie kama yeye sio kiongozi wa umma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…