GE2025 Rais wa TLS, Mwabukusi: Uchaguzi wa mwaka 2025 umeleta mgawanyiko wa Kisiasa, Kidini na Kikabila

GE2025 Rais wa TLS, Mwabukusi: Uchaguzi wa mwaka 2025 umeleta mgawanyiko wa Kisiasa, Kidini na Kikabila

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi aemesema Uchaguzi wa Mwaka huu umekuwa na changamoto na hii inatokana na yaliyojiri wakati wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2018 ambapo iliuwa trend ya ukuaji wa demokrasia ya Vyma vingi katika taifa letu.

"Uchaguzi wa mwaka huu tofauti na miaka mingine, katika hali ambayo si nzuri kumekuwa na hali ya Kitaifa ambayo inaleta mgawanyiko wa Kisiasa, Kidini na Kikabila, haya mambo hatutakiwi kuyaonea aibu kuyakemea na kuyasema wazi ili tutafute suluhisho.."

 
Msoga na Kizimka,i hawasikiila mtu wameweka Ngoma ya Kanyaga twende
 
huyu naye kala maharage ya wapi anakuja kutuchafulia hali ya hewa tu hapa nani kabila gani na kabila gani hawaelewani? dini gani na dini gani hawaelewani? upumbavu wake apeleke hukoooo atuache na taifa letu tulivu
 
Back
Top Bottom