GE2025 Rais wa TLS, wakili Mwabukusi: Anakwambia kinukishe, mwingine yupo Ulaya

GE2025 Rais wa TLS, wakili Mwabukusi: Anakwambia kinukishe, mwingine yupo Ulaya

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
"Nilimwambia mtu mmoja nyumbani kwangu ninapotoka kunajulikana, watoto wangu wanaposoma kunajulikana. Sijifichi.

Pia soma > Wakili Mwabukusi akataa kuvuruga amani ya nchi, asema Rais hafokewi

"Mwingine anayekwambia pambana. Kinukishe au kafanye hivi hajulikani anapoishi. Akikuandikia meseji anajiita Mtimkavu haweki jina lake halisi.

"Yeye anajidai shujaa. Mwingine yupo Ulaya hayupo Tanzania"- Rais wa TLS, wakili Boniface Anyisile Kajunjumele Mwabukusi.

 
Naye kaanza kutembea kwenye zile narratives za CCM kwamba wakosoaji ni wasoitakia nchi mema na wako ulaya!

Asali tayari nani anayefuata?
 
Kwani mtu wa ulaya akikwambia kakinukishe kwa faida ya kizazi chako kuna ubaya? Nyerere na TANU walikuwa wanawaambia raia wa Afrika ya kusini, Msumbiji na Zimbabwe wakinukishe.
CCM ni hatari kama kansa na ndio baba wa uongo kwa sasa wanasahau FRELIMO 1962 iliundwa Dar es Salaam na makao makuu yaliendelea kuwepo hapo hapo hadi 1975 Mozambique ilipopata uhuru.

Mafunzo ya kijeshi ya wapigania uhuru misituni walikuwa wanafanyia Kongwa na Dakawa na Mazimbu hawakuwa wao tu walikuwa pamoja na ANC ya South Africa.
 
Huyu kashafika bei anaongea km mwenyekit wa tawi la ccm wilaya fulani.
 
Itakuwa ndio aliyeuza ramani ya mdude, sorry kwa kusema hivi, naomba kujua faida za uwepo wa TLS kwa jamii nini? Naona kwa kipindi haki na sheria zinavurugwa na leo mwanasheria mwenzao kanyakuliwa kama kipanga pale mahakama kuu, hao TLS wamekaa kimya.
 
Back
Top Bottom