Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
CCM ni hatari kama kansa na ndio baba wa uongo kwa sasa wanasahau FRELIMO 1962 iliundwa Dar es Salaam na makao makuu yaliendelea kuwepo hapo hapo hadi 1975 Mozambique ilipopata uhuru.Kwani mtu wa ulaya akikwambia kakinukishe kwa faida ya kizazi chako kuna ubaya? Nyerere na TANU walikuwa wanawaambia raia wa Afrika ya kusini, Msumbiji na Zimbabwe wakinukishe.