Rais wa TP Mazembe Moise Katumbi ateuliwa kuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho la Vilabu vya Soka Duniani

Olmost

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
337
Reaction score
441
Screenshot_20191116-142749.jpeg
 
Hongera zake. Ngoja nijesogeze kwake walau niwe katibu mhitasi wake.
 
Ila Rais wa FIFA mjanja naona anatafuta kura za Africa. Maana Michel Platini anaweza akawa mpinzani wake mkuu urais FIFA uchaguzi ujao.
 
Platin alishatoka lupango ya Soka?
Ndiyo. Adhabu yake imeisha this November mwanzoni. Na nimefuatilia interview zake tokea adhabu iishe ni anataka kuwa Rais wa FIFA uchaguzi ukitokea. Anasema sasa ni vyema mtu ambae ni footballer aongonze FIFA. Michel ni mcheza mpira anajua matatizo ya wachezaji itafaa yeye akiwa Rais FIFA.
 
Mbeligiji huyo anaeongea kikongo kapata uteuzi kwa wenzake wa ulaya
 
Ndiyo. Adhabu yake imeisha this November mwanzoni. Na nimefuatilia interview zake tokea adhabu iishe ni anataka kuwa Rais wa FIFA uchaguzi ukitokea. Anasema sasa ni vyema mtu ambae ni footballer aongonze FIFA. Michel ni mcheza mpira anajua matatizo ya wachezaji itafaa yeye akiwa Rais FIFA.
Hakika maana Gianni hakutekeleza ahadi zake. Zikiwemo:-

Nchi ambayo imewahi kuanda michuano ya kombe la dunia kutoweza kutayarisha tena. (Amefanya haya kwa US, Mexico 2026 ilhali Morocco, Egypt na Australia-New Zealand walihitaji)

Aliapa akichaguliwa tu Africa itaongeza nafasi hadi 10 ambavyo tulitegemea 2022 ndio ianze. (Kafanya uhuni kwa kisingizio cha 2026 na Qatar kuwa taifa dogo ilhali Qatar wanasema leteni tu.) Huu ni ubaguzi na anakiwa Mswiss wa kwanza kuwa mbaguzi na muongo muongo, ametudhalilisha.
 
Si unajua Gianni alikuwa chini ya Platini,kipindi Platini aliwa UEFA. Gianni kishaonja keki ya Urais FIFA. Sasa anafanya juu chini kuweka mahusiano mazuri na Africa,America,Asia maana aujua Moto wa Platini.
 
Hapana! Morocco ndiye alistahili 2026 na siyo US, Canada-Mexico.
 
2026 itasababisha wengi twende Marekani na Canada kwa kisingizio cha WC
 
Back
Top Bottom