Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Platin alishatoka lupango ya Soka?Ila Rais wa FIFA mjanja naona anatafuta kura za Africa. Maana Michel Platini anaweza akawa mpinzani wake mkuu urais FIFA uchaguzi ujao.
Ndiyo. Adhabu yake imeisha this November mwanzoni. Na nimefuatilia interview zake tokea adhabu iishe ni anataka kuwa Rais wa FIFA uchaguzi ukitokea. Anasema sasa ni vyema mtu ambae ni footballer aongonze FIFA. Michel ni mcheza mpira anajua matatizo ya wachezaji itafaa yeye akiwa Rais FIFA.Platin alishatoka lupango ya Soka?
Hakika maana Gianni hakutekeleza ahadi zake. Zikiwemo:-Ndiyo. Adhabu yake imeisha this November mwanzoni. Na nimefuatilia interview zake tokea adhabu iishe ni anataka kuwa Rais wa FIFA uchaguzi ukitokea. Anasema sasa ni vyema mtu ambae ni footballer aongonze FIFA. Michel ni mcheza mpira anajua matatizo ya wachezaji itafaa yeye akiwa Rais FIFA.
Si unajua Gianni alikuwa chini ya Platini,kipindi Platini aliwa UEFA. Gianni kishaonja keki ya Urais FIFA. Sasa anafanya juu chini kuweka mahusiano mazuri na Africa,America,Asia maana aujua Moto wa Platini.Hakika maana Gianni hakutekeleza ahadi zake. Zikiwemo:-
Nchi ambayo imewahi kuanda michuano ya kombe la dunia kutoweza kutayarisha tena. (Amefanya haya kwa US, Mexico 2026 ilhali Morocco, Egypt na Australia-New Zealand walihitaji)
Aliapa akichaguliwa tu Africa itaongeza nafasi hadi 10 ambavyo tulitegemea 2022 ndio ianze. (Kafanya uhuni kwa kisingizio cha 2026 na Qatar kuwa taifa dogo ilhali Qatar wanasema leteni tu.) Huu ni ubaguzi na anakiwa Mswiss wa kwanza kuwa mbaguzi na muongo muongo, ametudhalilisha.
Hapana! Morocco ndiye alistahili 2026 na siyo US, Canada-Mexico.Si unajua Gianni alikuwa chini ya Platini,kipindi Platini aliwa UEFA. Gianni kishaonja keki ya Urais FIFA. Sasa anafanya juu chini kuweka mahusiano mazuri na Africa,America,Asia maana aujua Moto wa Platini.
Si unajua Lobbying za FIFA. Rushwa mtupu. Tusubiri 2030 watampa nani.Hapana! Morocco ndiye alistahili 2026 na siyo US, Canada-Mexico.
Halafu ukienda utarudi Bongo ?2026 itasababisha wengi twende Marekani na Canada kwa kisingizio cha WC