TANZIA Rais wa UAE Sheikh Khalifa Bin Zayed afariki Dunia, Rais Samia atuma Rambirambi

sa itakuaje, tumuulize msukule mkuu au ngoja tuone
 
Msiba mzito huu. Hope tutawakilishwa vizuri huko. Hawa ni wadau wa maendeleo hapa kwetu
Chief Hangaya mwenyewe atakwea pipa la ATCL akiongozana na Abdulhaman Kinana Makamu Mwenyekiti wa ccm na dalali wa UAE huko Mbugani Loliondo.
 
Chief Hangaya mwenyewe atakwea pipa la ATCL akiongozana na Abdulhaman Kinana Makamu Mwenyekiti wa ccm na dalali wa UAE huko Mbugani Loliondo.
Wana udugu wa dami na Kikwete na Rostam sema kikweti kwa asilimia kubwa amefata rangi ya mama yake
 
Pesa zote alizonazo zimeshinndwa kuzuiya asife?
Jamaa Wana 40 days State Mourning Aiseeeeeh.
.
Kwa Sasa Mancity hawana chairman wa Team Yao.
.E
Everything eventual. Pesa will not save u dadadeki
 
Ameishi maisha mazuri gani wakati alikuwa hanywi bia!!!!!
 
Dakika chache zilizopita, dunia iko katika Maombolezo mengine tena baada ya aliyekuwa rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu kufariki dunia.

Kulingana na habari zinazoendelea kusambaa, amefariki baada ya kupata kiharusi. Rais sheikh khalifa bin Zayed alifariki akiwa na umri wa miaka 73.

Kwa hivyo taarifa ya vyombo vya habari vya serikali imetangaza siku arobaini za maombolezo na kazi kusimamishwa kwa siku tatu.

Viongozi mbalimbali wamejitokeza kuomboleza na nchi hiyo ikiwa ni njia ya kuwaonea huruma ndugu na dada zao. Umoja wa Falme za Kiarabu umeunda nafasi nyingi za kazi kwa majirani zao na nchi zingine ambazo raia wanakubalika vyema nchini.

Amani iwe na wananchi wote wa Falme za Kiarabu wanapopitia kipindi hiki kigumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…