TANZIA Rais wa UAE Sheikh Khalifa Bin Zayed afariki Dunia, Rais Samia atuma Rambirambi

TANZIA Rais wa UAE Sheikh Khalifa Bin Zayed afariki Dunia, Rais Samia atuma Rambirambi

Chuki au ukweli??
Mtume Muhammad SAW yupo motoni kwa kuwa hakukiri Yesu kuwa mwana wa Mungu na alie mfia kwa dhambi zake. Hata huyo rais Kama alikufa kashikilia uislam , yupo motoni
Achana na hiyo mada! Mtume wa Allah rehema na amani ziwe juu yake ni mjumbe wa Mola Mlezi na kiigizo chema na Rehema kwa viumbe wote!!!

Niliamini kama wewe severy years back am grateful to see and embrace the light of guidance.... Jesus peace be upon him was none but messenger of The God Almighty as Moses and the rest of the prophets!!!!

It is better for us with little knowledge to abstain from mijadala ambayo hatuwezi kuihandle kwa hoja...
 
Ndugu zangu dunia imekumbwa na Msiba mzito Sana wa Sheikh Khalifa Bin Zayed, Rais wa UAE. Inna Lilahi wa Inna Ilayhi raji'un

====

Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu (U.A.E) Sheikh Khalifa bin Zayed Al Nahyan amefariki, shirika la habari la Imarati WAM limeripoti muda mfupi uliopita na kusema amefariki akiwa na umri wa miaka 73.

"Wizara ya Masuala ya Rais ilitangaza kuwa kutakuwa na siku 40 za maombolezo rasmi na bendera nusu mlingoti na siku tatu kufungwa kwa Wizara na Mashirika rasmi katika ngazi ya shirikisho na Serikali za mitaa na sekta ya kibinafsi” taarifa imeeleza.

Sheikh Khalifa ambaye amekuwa akiugua kwa miaka kadhaa kulikosababisha kwa muda mrefu aache kujihusisha na shughuli za kila siku alimuachia mikoba kaka yake ambaye ni Mwanamfalme wa Abu Dhabi Mohammed bin Zayed ambaye ndiye ameonekana kama Mtawala kwa muda huo.

Sheikh Khalifa ambaye ni nadra kuonekana kwenye picha rasmi au kwenye hafla za umma kwa miaka mingi, alimrithi Baba yake na Mwanzilishi wa UAE Sheikh Zayed mnamo mwaka 2004, alipata kiharusi muongo mmoja baadaye na kumweka mbali na Watu tangu wakati huo.

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ATUMA RAMBIRAMBI
Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Sheikh Khalifa bin Zayed Al Nahyan, Rais wa Falme za Kiarabu na Mtawala wa Abu Dhabi. Natuma salamu za pole kwa Sheikh @MohamedBinZayed , Familia ya Kifalme na wananchi wa Falme za Kiarabu. Alikuwa kiongozi mahiri.


==========================================

Abu Dhabi, UAE(CNN)Sheikh Khalifa bin Zayed Al Nahyan, the United Arab Emirates President whose modernization policies helped transform his country into a regional powerhouse, died on Friday aged 73, state media WAM said.

"The Ministry of Presidential Affairs mourn the people of the UAE, the Arab and Islamic nations, and the whole world. The leader of the nation and the patron of its march, His Highness Sheikh Khalifa bin Zayed Al Nahyan, President of the State, passed away to the Lord's side today, Friday, May 13," WAM said.

"The Ministry of Presidential Affairs announces an official mourning and flags to be flown at half-mast for the late His Highness Sheikh Khalifa bin Zayed Al Nahyan, may God have mercy on him, for a period of 40 days, starting today, and suspending work in ministries, departments, federal and local institutions, and the private sector for 3 days, starting today (Friday)," WAM said in a tweet.

Sheikh Khalifa's role had been largely ceremonial since he suffered a stroke and underwent surgery in 2014. His brother and Abu Dhabi's crown prince, Sheikh Mohammed bin Zayed, has been widely seen as the de-facto leader of the UAE, handling day-to-day affairs for the Gulf state.

Sheikh Khalifa was appointed as the second president of the UAE in 2004, succeeding his father and founder of the nation, Sheikh Zayed al Nahyan.

Born in 1948 in the Eastern Region of Abu Dhabi, Sheikh Khalifa was the eldest son of Sheikh Zayed. Prior to his role as president, he was crown prince of Abu Dhabi and headed Abu Dhabi's Supreme Petroleum Council, which drafts oil policy.

As president he headed one of the largest investment funds in the world, the Abu Dhabi Investment Authority, managing hundreds of billions of dollars in assets.

One of the world's tallest buildings, the Burj Khalifa, took on his name after the UAE government bailed Dubai out of its debt, and as a sports fan he supported the acquisition of English Premier League soccer club Manchester City.

View attachment 2223001

View attachment 2223950
Amesaidia sana kukuza dini Afrika
 
Kaburi la aliyekua rais wa United Arab Emirates Sheikh Khalifa bin Zayed.

Screenshot_20220514-151106_WhatsApp.jpg
 
English
Sat 14-05-2022 16:31 PM

Senior European Union officials praise late Sheikh Khalifa bin Zayed​

A-AA+
BRUSSELS, 14th May, 2022 (WAM) -- Senior European Union officials have affirmed that the UAE, during the era of the late Sheikh Khalifa bin Zayed Al Nahyan, achieved growth, comprehensive renaissance, peace and stability in the region.

Charles Michel, President of the European Council, said, "We received the death of Sheikh Khalifa bin Zayed Al Nahyan with great sadness. The European Union honours his legacy and leadership which made the UAE a pioneer in sustainable development and economic diversification. I extend my condolences to the UAE leadership, government and people."

For his part, Josep Borrell, High Representative of the European Union for Foreign Affairs, said, "We grief over the passing of Sheikh Khalifa bin Zayed Al Nahyan, who played a key role in establishing the UAE as it is today.

Our condolences to the people of UAE. The European Union remains committed to a strong partnership between the Emirates and the European Union."
David McAllister, Chairman of the European Parliament's Foreign Affairs Committee, said, "I offer my heartfelt condolences to the people of the UAE on the death of Sheikh Khalifa bin Zayed Al Nahyan. During his reign, the UAE has become a regional power and has taken brave decisions."

Moreover, the Belgian Foreign Ministry said, "With great sadness, we mourn the death of Sheikh Khalifa bin Zayed Al Nahyan. We extend our heartfelt condolences to his family and the people of the Emirates."
WAM/Khoder Nashar/MOHD AAMIR
 
Back
Top Bottom