LightYagami
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 2,825
- 1,493
Kenya gdp si 74.billion mate,in 2018 it was 85.98 billionTz Gdp 56bn
Ke Gdp 74bn
Tz is growing at 7% ke at 5%
Numbers dont lie
I only deal with Real GDP Not Nominal/forecastKenya gdp si 74.billion mate,in 2018 it was 85.98 billion
Hongereni wakenya kwa kutembelewa na macron,sie huku ile ziara ya mfalme wa morroco ishaanza kuleta neema,jana Magu boy kapokea mchoro wa uwanja wa mpira utakaoingiza watu elfu 80,hiki hili yai linaenda kupandwa dodoma,nyie endeleeni kuwakumbatia hao wazee wa divide and rulesView attachment 1045222
Anapokea courses kutoka kwa senior looters
Rais wa DRC Kila siku yuko Kenya...
Kunani?