Rais wa Ufaransa atua Kenya na kuanza mikakati ya ujenzi wa reli itakayounga uwanja wa ndege JKIA

Rais wa Ufaransa atua Kenya na kuanza mikakati ya ujenzi wa reli itakayounga uwanja wa ndege JKIA

mnajadiliana na mtu ambaye hatarudi ofisini wafaransa wameshamchoka kila uchwao maandano dhidi yake ...omba usichukiwe na Trump lazima utaondoka madarakani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna clip niliona jana Macron akizungumza na vyombo vya habari,... kuna kitu kimenipa maswali kidogo kuhusu kauli ya macron,.... macron alisema kwamba alipata wasaha wa kuongea na UK kabla ya ziara yeke Kenya, Macron anasema ktk mazungumzo yao Uk alionyesha wasiwasi wake ktk maswala ya AMMISOM, Ushirikiano wa kibiashara na wa kikanda na nchi kama Ethiopia lkn kuna kauli alitoa binafsi niliona ni TATA alisema kwamba UK hayupo comfortable na EU ... how come mbona hapa kuna utata maana Kenya wame jump kusaini EPA na EU ss how come president he is not comfortable ...What UK wants from EU ? au ndio plitical lobbing ku win FDI, lkn amejitahidi sana kuwa convince wa French kuja kuweka pesa ktk mahali ambako hawaku tawala kabisa .. embu nanyi muisikilize hii clip

 
Hongereni wakenya kwa kutembelewa na macron,sie huku ile ziara ya mfalme wa morroco ishaanza kuleta neema,jana Magu boy kapokea mchoro wa uwanja wa mpira utakaoingiza watu elfu 80,hiki hili yai linaenda kupandwa dodoma,nyie endeleeni kuwakumbatia hao wazee wa divide and rulesView attachment 1045222

Mwana Minimum capacity ni watu 80 000, maximum capacity ni watu 100,005. Thew largest football stadium in Africa.

Mpini KONKI KONI!
 
Back
Top Bottom