#COVID19 Rais wa Ufilipino atishia kuwafunga wananchi wanaokataa chanjo ya COVID-19

#COVID19 Rais wa Ufilipino atishia kuwafunga wananchi wanaokataa chanjo ya COVID-19

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Rais Rodrigo Duterte wa Ufilipino ametishia kuwafunga jela watu watakaokataa kupata Chanjo dhidi ya Ugonjwa wa COVID-19 wakati Taifa hilo likipambana na mlipuko mbaya zaidi Barani Asia

Kufuatia Ripoti za idadi ndogo ya wanaojitokeza katika Vituo mbalimbali vya Chanjo Jijini Manila, Rais amesema watu waamue kupata Chanjo au atalazimika kuwapeleka gerezani

Kauli yake inakinzana na ile ya Maafisa wake wa Afya ambao wamesema licha ya kwamba Wananchi wanasisitizwa kupata Chanjo, suala hilo ni hiari

=====

Philippine President Rodrigo Duterte has threatened to jail people who refuse to be vaccinated against the coronavirus as his country battles one of Asia's worst outbreaks, with more than 1.3 million cases and 23,000 deaths.

"You choose, vaccine or I will have you jailed," Duterte said in a televised address on Monday following reports of low turnouts at several vaccination sites in the capital, Manila.

Duterte's remarks contradict those of his health officials, who have said that while people are urged to receive the Covid-19 vaccine, it was voluntary.

"Don't get me wrong, there is a crisis in this country," Duterte said. "I'm just exasperated by Filipinos not heeding the government."

As of June 20, Philippine authorities had fully vaccinated 2.1 million people, making slow progress toward the government's target to immunize up to 70 million people in the country of 110 million this year.

Duterte, who has been criticized for his tough approach to containing the virus, also stood by his decision not to let schools reopen.

Source: Philippine President threatens to jail those who refuse Covid-19 vaccine
 
🤣🤣🤣🤣

Acha niwahi kukomenti kabla hawajaingia wazee wa R.I.P Magu
 
Back
Top Bottom