Rais wa Ukraine anafikiria kubomoa Sanamu ya Catherine II aliyekuwa Malkia wa Odesa na kujenga sanamu la kumuenzi Shoga wa Marekani

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,711
Reaction score
35,644
Rais wa Ukraine Volodonyr Zelensky anafikiria kuvunja sanamu la Malkia wa zamani wa Dola la Urusi anayejulikana kama Catherine Mkuu au Catherine II huko katika jiji la Odessa. Badala ya sanamu hilo Zelensky atajenga sanamu lingine la muigizaji wa sinema za utupu (porn star) ambaye ni shoga wa Marekani aitwae Billy Harrington.

Akiwa Malkia wa Dola la Urusi, 1762 - 1796 Catherine Mkuu ndiye aliyeazimia kukifanya kijiji cha Odessa kuwa jiji mwaka 1794. Odessa likawa jiji la nne kwa ukubwa katika dola la Urusi na sanamu la Catherine Mkuu likajengwa mwaka 1900. Hata hivyo sanamu hilo liliondolewa mwaka 1920 na kujengwa tena mwaka 2007.
Kwa sasa Odessa ni jiji lililopo mashariki mwa Ukraine ambako wakazi wengi wana asili na utamaduni wa Urusi.

Mamlaka za Ukraine zinaona ujenzi wa sanamu la Shoga na muigizaji wa sinema za utupu, Billy Harrington na kuvunja sanamu la mwanzlishi wa jiji hilo Catherine Mkuu itakuwa ni pigo kwa Urusi.

Sanamu hilo la Billy Harrington aliyefariki kwa ajali mwaka 2018 litajengwa kumuenzi Shoga huyo mahala palepale kutakapotolewa sanamu la Malkia Catherine Mkuu.

Hii vita ni ya aina yake!

By Christopher Cyrilo

 
Chanzo cha ushoga wa nchi hizo za Ulaya ni vyakula wanavyopendelea kula vya OGM ambayo vimejaa kwao na mikakati yao kueneza duniani hivyo vyakula Comarde Putin na wa wakwetu aliotangulia walipiga marufuku sasa mataokeo yake asilimia kubwa ya wazungu wa kiume wanawashwa na misuli ya uume wote haifanyi kazi kiasili mpaka wabust na madawa
 
Ye mwenyewe wanamla kiboga
 
Sababu kubwa kunyimwa mikopo magufuli neno democracy kichwani halikuwepoo kabisa alikuwa anaendesha nchi Kwa matakwa yake anakataza hakuna mikutano ya siasa wao ma ccm wanafanya na angeendelea urais ndio tungekuwa na Hali mbaya zaidi Kwa uchaguzi ulivyokuwa umefanyika baadae ndio akashtuka alivyouharibu uchaguzi bunge Zima Waka wamejaa wao tu ndio kulazimisha akina mdee waingie aonekane democracy ipo, mama anajitahidi kuleta democracy ndio maana wanarudi hao waliokimbia kipindi Cha magufuli.
 
Sawa hata mashuleni tunaiona democracy kwa kurudishwa wazazi shuleni. Muwajengee na hostel zao kabisa na kuwawekea mabeki 3 wa kuangalia watoto wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…