- Thread starter
- #21
Lazima Warusi wa JF niwape tabu[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]utapata tabu sana Safari hiii ....Z
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima Warusi wa JF niwape tabu[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]utapata tabu sana Safari hiii ....Z
Taarifa ya miezi mitatu iliyopita inatolewa leo na mtu mmoja tu tena ni ukrenian 😅 😅 😅 😅 😅Habari kutoka Shirika la habari la Reuters zinaeleza kwamba Jasusi mbobezi, Rais wa Urusi, Vladimir Putin alinusirika Kuuawa mwanzoni kabisa mwa mgogoro wa Vita ya Ukraine.
Kwa sasa Putin inawezekana ndiye Rais anayeishi kwa wasiwasi mkubwa kuliko Marais wote wa nchi nyingine duniani.
Putin kwa sasa ni kama anapambania uhai wake, inawezekana maisha yake yapo hatarini kuliko hata ya Zelensky au kiongozi mwingine yeyote yule wa Kremlin.
______________
Vladimir Putin: Rais wa Urusi 'chupuchupu' kuuawa
Rais wa Urusi Vladimir Putin alinusurika katika jaribio la mauaji muda mfupi baada ya kuanza kwa vita nchini Ukraine, afisa mkuu wa jeshi la Ukraine amesema. Baadhi ya vyombo vya habari vya kimataifa, vikiwemo NDTV na New York Post, vimeripoti habari hiyo leo, vikilinukuu gazeti la Ukraine la Ukrainska Pravda.
Jenerali Kyrylo Budanov, mkuu wa upelelezi wa ulinzi wa Ukraine, amefichua habari kuhusu jaribio la kumuua Putin ambalo halikufaulu. Alisema tukio hilo lilitokea katika eneo la Caucasus.
Habari hizo zinakuja huku kukiwa na mvutano unaoongezeka kati ya Urusi na Ukraine, pamoja na kuongezeka kwa uvumi kuhusu afya ya Putin. Eneo la Caucasus, ambako lilifanyika jaribio la kumuua Putin muda mfupi baada ya kuzuka kwa uhasama nchini Ukraine mnamo Februari 24, liko kati ya Bahari Nyeusi na Bahari ya Caspian.
Taarifa gani hasa zilitolewa na afisa huyu wa upelelezi?
Jenerali Kyrylo Budanov alizungumzia suala hilo katika mahojiano na gazeti la mtandaoni la Ukrainska Pravda.
"Kulikuwa na jaribio la kumuua Putin ... kulingana na maajenti wa Caucasus, si muda mrefu sana uliopita," Bw Budanov alinukuliwa akisema na gazeti la Ukraine.
"Habari hizi hazikuwekwa wazi. Ilikuwa ni kitendo kilichoshindwa kabisa, lakini jaribio hilo lilifanyika kweli ... Ilikuwa takriban miezi miwili iliyopita," aliongeza.
Madai hayo bado hayajathibitishwa na vyanzo huru, lakini habari hizo zinakuja wiki chache baada ya ripoti kuibuka kuwa Bw Putin alifanyiwa upasuaji wa kutoa mafuta kwenye tumbo lake.
Operesheni hiyo "ilifanikiwa sana na hakukuwa na athari", kulingana na ripoti hiyo. Taarifa kuhusu upasuaji wa Putin zilichapishwa kwenye kituo cha Telegram cha SVR, ambacho kinashirikiana na Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi.
Kulikuwa na taarifa nyingine kutoka kwa mfanyabiashara tajiri ambaye ni rafiki wa karibu wa Putin, ambaye alisema kuwa "Putin anaumwa sana na saratani ya damu".
Mapema mwezi huu, Bw Budanov, katika mahojiano na Sky News, alisema vita vya Ukraine vitakuwa na awamu mpya katikati ya Agosti na vitamalizika mwishoni mwa mwaka, na kusababisha mabadiliko ya utawala nchini Urusi.
Pia alisema kuwa "mapinduzi ya kijeshi" yalikuwa yanaendelea na kwamba hii haiwezi kusitishwa.
Chanzo: BBCView attachment 2238039
Mwendo wa spana tu Viva Russia ...UrrrrraaaLazima Warusi wa JF niwape tabu[emoji23][emoji23]
Alikaa nayo ameificha, kaitoa leo ili Warusi iwafikie vizuri [emoji16]Taarifa ya miezi mitatu iliyopita inatolewa leo na mtu mmoja tu tena ni ukrenian [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Hiyo ni taarifa njema kwetu. FBI walimdaka jamaa kama kuku boleila tu[emoji23][emoji23], chezea FBI wewe.Huna taarifa kama Bush na kaloswakoswa kuuawa na jamaa mmoja raia wa Iraq au ndio ume-mute
Hiyo ni taarifa njema kwetu. FBI walimdaka jamaa kama kuku boleila tu[emoji23][emoji23], chezea FBI wewe.
Nimekwambia nimeiona, FBI walimkamata kama kuku boleila kwa sasa yupo selo, miaka 30[emoji23]An Islamic State sympathiser planned to murder former US President George W Bush but the plot was discovered by the FBI, US authorities have revealed.
The suspect, a resident of Ohio, allegedly sought to have Iraqi operatives smuggled into the US from Mexico for the operation.
He is now in custody and appeared at a federal court in Ohio on Tuesday.
The FBI used informants and electronic surveillance to foil his plan.
According to court documents, the suspect - identified as Shihab Ahmed Shihab, 52 - is an Iraqi national who has been in the US since 2020 and had a pending asylum application.
![]()
FBI foiled terror plot to kill George W Bush
An Iraqi citizen in Ohio allegedly attempted to have militants smuggled across the Mexican border.www.bbc.com
Hii habari hukuiona 😎😎
CIA wamesema kuna viashiria vya yeye kuwa na ukaribu na Russia.Sasa hao wa kwako wamefanikiwa, si bora huyo he was playing a solo mission kuliko mipango ya nchi kubuma
Maraisi wote wenye misimamo mikali na yenye tija kwa Nchi zao huwa ni watu wa kuwindwa sana. Unajua Fidel Castro aliekua raisi wa Cuba alinusulika na majaribio ya kuuwawa mara ngapi,?unajua John Pombe Magufuli na yeye alinusulika mara ngapi ? Orodha ni ndefu tu. Usiogope.Hakuna cha propaganda hapa, huo ndo ukweli.
Mnadanganyana! Putin mwenyewe ni Jasusi mmbobezi kwa nini asiwe salama wakati inteligensia yake ni ya uhakika?Ukraine. Putin hayuko salama tena.
Nilipofika hapa nikajua ni Yale Yale ya kuku na Yai' nani kaanza kuonekana!!!Rais wa Urusi Vladimir Putin alinusurika katika jaribio la mauaji muda mfupi baada ya kuanza kwa vita nchini Ukraine, afisa mkuu wa jeshi la Ukraine amesema
Unateseka[emoji23][emoji23]Nilipofika hapa nikajua ni Yale Yale ya kuku na Yai' nani kaanza kuonekana!!!
Pole, H ah ha haaaa!Unateseka[emoji23][emoji23]
Hiyu mkuu wa upelelezi wa urine ajue ipo siki KGB watamtembelea hata kama ni miaka 50Habari kutoka Shirika la habari la Reuters zinaeleza kwamba Jasusi mbobezi, Rais wa Urusi, Vladimir Putin alinusirika Kuuawa mwanzoni kabisa mwa mgogoro wa Vita ya Ukraine.
Kwa sasa Putin inawezekana ndiye Rais anayeishi kwa wasiwasi mkubwa kuliko Marais wote wa nchi nyingine duniani.
Putin kwa sasa ni kama anapambania uhai wake, inawezekana maisha yake yapo hatarini kuliko hata ya Zelensky au kiongozi mwingine yeyote yule wa Kremlin.
______________
Vladimir Putin: Rais wa Urusi 'chupuchupu' kuuawa
Rais wa Urusi Vladimir Putin alinusurika katika jaribio la mauaji muda mfupi baada ya kuanza kwa vita nchini Ukraine, afisa mkuu wa jeshi la Ukraine amesema. Baadhi ya vyombo vya habari vya kimataifa, vikiwemo NDTV na New York Post, vimeripoti habari hiyo leo, vikilinukuu gazeti la Ukraine la Ukrainska Pravda.
Jenerali Kyrylo Budanov, mkuu wa upelelezi wa ulinzi wa Ukraine, amefichua habari kuhusu jaribio la kumuua Putin ambalo halikufaulu. Alisema tukio hilo lilitokea katika eneo la Caucasus.
Habari hizo zinakuja huku kukiwa na mvutano unaoongezeka kati ya Urusi na Ukraine, pamoja na kuongezeka kwa uvumi kuhusu afya ya Putin. Eneo la Caucasus, ambako lilifanyika jaribio la kumuua Putin muda mfupi baada ya kuzuka kwa uhasama nchini Ukraine mnamo Februari 24, liko kati ya Bahari Nyeusi na Bahari ya Caspian.
Taarifa gani hasa zilitolewa na afisa huyu wa upelelezi?
Jenerali Kyrylo Budanov alizungumzia suala hilo katika mahojiano na gazeti la mtandaoni la Ukrainska Pravda.
"Kulikuwa na jaribio la kumuua Putin ... kulingana na maajenti wa Caucasus, si muda mrefu sana uliopita," Bw Budanov alinukuliwa akisema na gazeti la Ukraine.
"Habari hizi hazikuwekwa wazi. Ilikuwa ni kitendo kilichoshindwa kabisa, lakini jaribio hilo lilifanyika kweli ... Ilikuwa takriban miezi miwili iliyopita," aliongeza.
Madai hayo bado hayajathibitishwa na vyanzo huru, lakini habari hizo zinakuja wiki chache baada ya ripoti kuibuka kuwa Bw Putin alifanyiwa upasuaji wa kutoa mafuta kwenye tumbo lake.
Operesheni hiyo "ilifanikiwa sana na hakukuwa na athari", kulingana na ripoti hiyo. Taarifa kuhusu upasuaji wa Putin zilichapishwa kwenye kituo cha Telegram cha SVR, ambacho kinashirikiana na Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi.
Kulikuwa na taarifa nyingine kutoka kwa mfanyabiashara tajiri ambaye ni rafiki wa karibu wa Putin, ambaye alisema kuwa "Putin anaumwa sana na saratani ya damu".
Mapema mwezi huu, Bw Budanov, katika mahojiano na Sky News, alisema vita vya Ukraine vitakuwa na awamu mpya katikati ya Agosti na vitamalizika mwishoni mwa mwaka, na kusababisha mabadiliko ya utawala nchini Urusi.
Pia alisema kuwa "mapinduzi ya kijeshi" yalikuwa yanaendelea na kwamba hii haiwezi kusitishwa.
Chanzo: BBCView attachment 2238039
Na Putin atatembelewa hata kama ni miaka 100Hiyu mkuu wa upelelezi wa urine ajue ipo siki KGB watamtembelea hata kama ni miaka 50