Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
muandamane na kasema mtulizwe, mtaandamana wapi?uchawa umepitiliza sasa wanazidi kutia hasira za kuandamana
Bongo ujinga mwingi sana.Rais wa Wachimbaji wa Madini Tanzania, John Wambura Bina, kwenye mkutano wa kampeni leo Oktoba 13, 2025, Mkoa wa Geita, amependekeza kwamba moja ya madini nchini yabadilishwe jina na yaitwe “Samia Suluhu Hassan” kama ishara ya kutambua mchango mkubwa wa Rais Samia Suluhu Hassan katika kuendeleza sekta ya madini na kuboresha mazingira ya uwekezaji nchini.
Dah! Sikujua kama ningekutana na mtu anamjua John Bina kiasi hiki.Jamani msiwe mnaleta humu maneno ya watu hata akili za kawaida tu hawana.
Huyo Bina kichwani hakuna kitu kabisa. Yeye wakati wote anahangaika tu mabinti.
Siku moja nilishangaa sana uwendawazimu wa huyo Bina. Alipiga picha ya video akiwa na binti kitandani, wakiwa utupu, akionesha matiti ya huyo binti. Aliyetumiwa akawa analalamika kuwa amekuwa akimtumia hayo mapicha ya ajabu kila mara. Akampigia simu hapo hapo kuwa kwa nini haridhiki, kila siku ni kuonesha yupo na msichana mwingine. Bina akamjibu kwa kumwuliza kama anajua pale Singida yeye anajulikana kwa jina gani, akasema kuwa afahamu kuwa pale Singida, yeye anaitwa King Mswati. Jamaa akachukia, akamkatia simu.
Huyo Bina ni mwehu, hastahili hata kujadiliwa
Yeye awape hayo majina wanae na wajukuu zake.Rais wa Wachimbaji wa Madini Tanzania, John Wambura Bina, kwenye mkutano wa kampeni leo Oktoba 13, 2025, Mkoa wa Geita, amependekeza kwamba moja ya madini nchini yabadilishwe jina na yaitwe “Samia Suluhu Hassan” kama ishara ya kutambua mchango mkubwa wa Rais Samia Suluhu Hassan katika kuendeleza sekta ya madini na kuboresha mazingira ya uwekezaji nchini.
Hovyo hovyo kabisa kabisa 👺😡😤😠Rais wa Wachimbaji wa Madini Tanzania, John Wambura Bina, kwenye mkutano wa kampeni leo Oktoba 13, 2025, Mkoa wa Geita, amependekeza kwamba moja ya madini nchini yabadilishwe jina na yaitwe “Samia Suluhu Hassan” kama ishara ya kutambua mchango mkubwa wa Rais Samia Suluhu Hassan katika kuendeleza sekta ya madini na kuboresha mazingira ya uwekezaji nchini.