wachimbaji madini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania 𝐅𝐞𝐦𝐚𝐭𝐚: Wachimbaji Madini waliokwama kwenda Canada watarejeshewa fedha zao Oktoba 23, 2026

    𝐓𝐀𝐍𝐆𝐀𝐙𝐎 𝐌𝐀𝐀𝐋𝐔𝐌𝐔 𝐊𝐖𝐀 𝐖𝐀𝐒𝐀𝐅𝐈𝐑𝐈 𝐖𝐀 𝐒𝐀𝐅𝐀𝐑𝐈 𝐘𝐀 𝐂𝐀𝐍𝐀𝐃𝐀 𝐖𝐀𝐍𝐀𝐎 𝐃𝐀𝐈 𝐅𝐄𝐃𝐇𝐀 𝐙𝐀𝐎 𝐊𝐮𝐩𝐢𝐭𝐢𝐚 𝐏𝐫𝐞𝐬𝐬 𝐜𝐨𝐧𝐟𝐞𝐫𝐞𝐧𝐜𝐞 𝐢𝐥𝐢𝐲𝐨 𝐟𝐚𝐧𝐲𝐰𝐚 𝐧𝐚 𝐑𝐚𝐢𝐬 𝐰𝐚 𝐒𝐡𝐢𝐫𝐢𝐤𝐢𝐬𝐡𝐨 𝐥𝐚 𝐯𝐲𝐚𝐦𝐚 𝐯𝐲𝐚 𝐰𝐚𝐜𝐡𝐢𝐦𝐛𝐚𝐣𝐢 𝐌𝐚𝐝𝐢𝐧𝐢 𝐓𝐚𝐧𝐳𝐚𝐧𝐢𝐚 𝐍𝐝𝐮𝐠𝐮 𝐉𝐨𝐡𝐧 𝐖𝐚𝐦𝐛𝐮𝐫𝐚 𝐁𝐢𝐧𝐚 𝐧𝐚 𝐦𝐚𝐞𝐥𝐞𝐤𝐞𝐳𝐨 𝐲𝐚𝐤𝐞, 𝐤𝐮𝐦𝐞𝐤𝐮𝐰𝐞𝐩𝐨 𝐧𝐚 𝐮𝐭𝐞𝐤𝐞𝐥𝐞𝐳𝐰𝐚𝐣𝐢 𝐰𝐚 𝐦𝐚𝐞𝐥𝐞𝐤𝐞𝐳𝐨 𝐡𝐚𝐲𝐨 𝐤𝐰𝐚 𝐤𝐢𝐰𝐚𝐧𝐠𝐨 𝐤𝐢𝐤𝐮𝐛𝐰𝐚 𝐛𝐚𝐚𝐝𝐚 𝐲𝐚 𝐏𝐫𝐞𝐬𝐬...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Wachimbaji madini nchini wamenunua picha moja kwa Tsh Bilioni 1.8 kwa ajili ya kumpa zawadi, Rais Samia Suluhu Hassan

    Wachimbaji madini nchini wamenunua picha moja kwa ajili ya kumpa zawadi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani, Samia Suluhu Hassan kwa thamani ya Shilingi Bilioni 1.8. Wachimbaji hao wamenunua picha inayowaonesha Pomboo (Dolphin) wakiwa ndani ya maji Kizimkazi. Katika hafla ya usiku wa sanaa...
  3. Think2

    JamiiForums Tanzania Je, Kuondoa Ruzuku kwa Wachimbaji Madini Kutasaidia au Kutadhoofisha Uchumi?

    Mheshimiwa raisi kuondoa ruzuku kwa wachimbaji moja kwa moja bila kutafuta njia mbadala ya kuwasaidia itaenda kudhoofisha uchumi hasa kwa wachimbaji wadogowadogo najua umefanya uamuzi kwa kuangalia wachimbaji wakubwa je vipi kuhusu wachimbaji wadogo ? Tusifanye mambo kimhemko kisa tajiri mmoja...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wachimbaji madini mnataka Ruzuku wakati Harusi mnazifanya na Helikopta?

    Rais Samia Suluhu Hassan amekataa ombi la wachimbaji madini kuhusu kupewa ruzuku kutoka serikalini akitania kuwa wana pesa kiasi cha kufanya harusi kwenye helikopta.
  5. Heparin

    JamiiForums Tanzania Polisi: Hakuna Mchimbaji aliyefariki kwenye Machimbo ya Msasa, Geita, baada ya maduara kuanguka

    Baada ya kusambaa kwa tetesi zinazodai zaidi ya watu 200 wamefariki kwenye machimbo ya Msasa Geita, jeshi la Polisi limekanusha taarifa hizo kwa kueleza kuwa hakuna mtu yeyote aliyepoteza maisha. Tetesi za tukio hili zipo hapa >>> Wachimbaji zaidi ya 200 wahofiwa kufariki huko Geita Machimbo ya...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais wa Wachimbaji Madini: Napendekeza moja ya madini tuyabadilishe jina yaitwe 'Samia Suluhu Hassan'

    Rais wa Wachimbaji wa Madini Tanzania, John Wambura Bina, kwenye mkutano wa kampeni leo Oktoba 13, 2025, Mkoa wa Geita, amependekeza kwamba moja ya madini nchini yabadilishwe jina na yaitwe “Samia Suluhu Hassan” kama ishara ya kutambua mchango mkubwa wa Rais Samia Suluhu Hassan katika kuendeleza...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wachimbaji mkoa wa Singida wampongeza rais Samia kwa mafanikio makubwa sekta ya madini

    WACHIMBAJI MKOA WA SINGIDA WAMPONGEZA RAIS SAMIA KWA MAFANIKIO MAKUBWA SEKTA YA MADINI ▪️Wapongeza ugawaji wa Leseni kwa wachimbaji wadogo Singida ▪️Singida wavuka malengo ya ukusanyaji wa maduhuli ▪️Waziri Mavunde aeleza mkakati wa kuongeza eneo la utafiti wa kina madini nchini ▪️Kampuni za...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mgodi wa dhahabu wa Geita kuwalipa fidia wananchi kupisha shughuli za uchimbaji

    MGODI WA DHAHABU WA GEITA KUWALIPA FIDIA WANANCHI KUPISHA SHUGHULI ZA UCHIMBAJI ▪️Ni Wananchi wa Nyakabale na Nyamalembo ▪️Waziri Mavunde alekeza zoezi lianze mapema ▪️Wananchi Geita wamshukuru Rais Samia kwa utatuzi wa mgogoro uliodumu miaka 26. 📍Geita. Serikali imetangaza rasmi kuanza kwa...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde: Maabara ya kisasa Geita kuwainua wachimbaji kanda ya ziwa

    ❖ Baada ya Miaka 100 GST Yajielekeza kwenye Ujenzi wa Maabara za Kisasa ❖ Kuhudumia mikoa ya kimadini ya Geita, Mbogwe, Kagera, Mwanza, Kahama na Shinyanga ❖Maabara nyingine kujengwa Chunya na Dodoma 📍Geita. Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Peter Mavunde, amesema ujenzi wa maabara ya kisasa ya...
  10. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania Wachimbaji madini waipongeza REA kwa kuwafikishia umeme

    📌Ni kupitia Mradi wa kupeleka umeme kwa wachimbaji wadogo na wa kati 📌Umeme umeleta ukombozi, uzalishaji madini waongezeka Geita Mradi wa kupeleka umeme kwa wachimbaji wadogo na wa kati, Viwanda vidogo na vya kati pamoja na maeneo ya kilimo umepokelewa kwa furaha na wananchi mkoani Geita mara...
Back
Top Bottom