Je, Kuondoa Ruzuku kwa Wachimbaji Madini Kutasaidia au Kutadhoofisha Uchumi?

Je, Kuondoa Ruzuku kwa Wachimbaji Madini Kutasaidia au Kutadhoofisha Uchumi?

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,087
Reaction score
6,024
Mheshimiwa raisi kuondoa ruzuku kwa wachimbaji moja kwa moja bila kutafuta njia mbadala ya kuwasaidia itaenda kudhoofisha uchumi hasa kwa wachimbaji wadogowadogo najua umefanya uamuzi kwa kuangalia wachimbaji wakubwa je vipi kuhusu wachimbaji wadogo ?

Tusifanye mambo kimhemko kisa tajiri mmoja kufanya sherehe ya mabilioni kuzuia ruzuku ni kuwaumiza wachimbaji wadogowadogo.
 
Back
Top Bottom