Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Rais Samia Suluhu Hassan amekataa ombi la wachimbaji madini kuhusu kupewa ruzuku kutoka serikalini akitania kuwa wana pesa kiasi cha kufanya harusi kwenye helikopta.
WivuRais Samia Suluhu Hassan amekataa ombi la wachimbaji madini kuhusu kupewa ruzuku kutoka serikalini akitania kuwa wana pesa kiasi cha kufanya harusi kwenye helikopta.