Rais wa wana-JamiiForums

Kwa mara nyingine tena rais atakapo patikana msisahau kunipa kitengo chochote cha uwaziri



Sana sana uwaziri wa habari,michezo,sanaa na utamaduni
ila usije kufungia media hovyohovyo
 
I am the Boss .....sigombei chochote....
matokeo yoyote yale nitabaki The boss....mshindi asubiri kupokea maagizi tu kutoka kwangu ha haa
[emoji1] [emoji1] Ningekuchagua Mie!!
 
Mwenye msg(s) nyingi na mwenye busara ndie anafaa kuwa rais, ambae ni mshana jr
 
Ukipewa nafasi ya kuchagua mmoja wa wanachama humu awe Rais wetu,utamchagua nani na kwanini???...kumbuka huu UZI ni ...interesting
Mbona cjatajwa aisee!
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] Very interesting! [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Mm hawa watatu Mshana jr, Nyani Ngabu, The Boss
 
Nimeshangaa Wanawake hawapigiwi kura ya uraisi hata wa JF. 50/50 iko wapi au wanaogopa fursa. Wanawake mnaweza

Rais nampendekeza Niffah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…