Angalia asije kusema wewe ni mla vumbi tu....kwani na yeye hapendagi ujinga??
Sent from simu yangu sijaazima kwa mtu JamiiForums mobile app
mama samia mimi
Akuu huko pemba kwenyewe mie sipajuiHao ni waarabu wa pemba
Nilimaanisha mnajuanaAkuu huko pemba kwenyewe mie sipajui
Ye wa Bariadi mie wa kibosho[emoji126]
Ustake nikaandamana aisekura yako imeharibika...tetee tee
Namuogopa yule mkali sana bana[emoji85]Nilimaanisha mnajuana