Rais wa wana-JamiiForums

Rais wa wana-JamiiForums

Hivi wewe zimetimia kweli? wewe umeitisha uchaguzi bila kuwa na wagombea?

Jf kuna washirika zaidi ya 350k, ulitakiwa usample walau watu kumi na mamakamu wao ili tuwapigie kura....ila wewe hujafanya hivyo.

Je 2020 ukienda kwenye kituo cha kupiga kura alafu ukakuta wagombea wa urais wapo 50M, uoni huo utakuwa uchauzi wa mata.hira?....na atakaeandaa huo uchaguzi atakuwa ana akili timamu?
Okey ngoja nimsaidie kuweka majina ya wagombea

1. Nyani Ngabu

Mgombea mwenza Kasinde

2. Kiranga

Mgombea mwenza Heaven Sent

3. The Boss

Mgombea mwenza sister

4. mshana jr

Mgombea mwenza atoto

5. Mr Rocky

Mgombea mwenza Madame B

6. @nifaah

Mgombea mwenza asmaa80

7.

8.

9.

10.
 
Mtoa mada na mchangiaji wa kwanza ni mtu 1
Post ya kwanza imefutwa ingawa ilikuwa na ujumbe wa kufanana....siku hizi watu wanajichanganya sana....jana kule MMU kuna mtu aliulizwa swali akajibia kwenye ID nyingine tena ya jinsia tofauti.....Bravo Mkuu kwa kunotice.
 
Okey ngoja nimsaidie kuweka majina ya wagombea

1. Nyani Ngabu

Mgombea mwenza Kasinde

2. Kiranga

Mgombea mwenza Heaven Sent

3. The Boss

Mgombea mwenza sister

4. mshana jr

Mgombea mwenza atoto

5. Mr Rocky

Mgombea mwenza Madame B

6.

7.

8.

9.

10.
1.Hapo tutabebeshwa box hadi migongo ipinde....Mgombea tayari ni rais wa wabeba box kwa hiyo hana sifa ya kugombea urais mwingine.

2.Kiranga awe rais? nani kasema? je akibadili siku ya uhuru kuwa siku ya kutafuta pembe tatu duara mpaka ipatikane, tutaipata wapi?...pia Kiranga atatumia muda wote wa urais kwa kupinga uwepo wa jina la Makamu wake.

3.Hapo kwa Boss acha kabisa,.....uhuru wa kujieleza utabinywa sana....Hivi mwananchi utajisikiaje pale ambapo Rais ua waziri mkuu anapoulizwa maswali na wabunge alafu yeye anajibu kila swali kwa kusema INTERESTING?

4.Mshana labda akawe rais wa Gambia....iweje tuwe na rais mchawi wakati serikali haiamini uchawi?...Hapa kila mtu atalazimishwa kuwa mchawi na PM atakuwa Kingunge....taifa la kutegemea uchawi badala ya technologia litafilisika haraka sana.

5.Hapa shida ipo kwa makamu wa Rais,....kuna uwezekano akamshawishi Rais ili wahamishe makao makuu ya serekali yapelekwe jukwaa la wakubwa......tutapata wapi pesa ya kuhamisha serekali?

6.Valentina wewe ndo Jaji Lubuva😀😀😀😀😀😀
 
Umeniumiza mbavu zangu wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wamwage sera zao.. Kampeni ipigwe... Urais mwaka mmoja tu... Tupige kura
 
Yes tuanze na Nyani Ngabu....

Ngosha lete sera

Ukipata urais wa jf kipi utatufanyia?

La kwanza ni kuwatafutia bonge moja la festi ledi.

Festi ledi mtayejivunia kuwa festi ledi wenu.

Piti nitazipitia upya sera zote za JF hususan zile zihusuzo kufuta nyuzi za watu, kubadilisha vichwa vya habari vya mada kiholela, na kupiga watu ban pasipo na sababu zozote zile za msingi.

Nitaendelea baadae...
 
Sawa ngosha tunasubiri muendelezo kisha maswali yatafata toka kwa wananchi wa Jf....
 
Back
Top Bottom