Unapumuliwa kisogoni wewe bila shaka!Ebu toa usengerema wako, kila kitu jpm.
Sipendi ujinga mimi
Usifikiri kila mtu ni kama weweUnapumuliwa kisogoni wewe bila shaka!
Okey ngoja nimsaidie kuweka majina ya wagombeaHivi wewe zimetimia kweli? wewe umeitisha uchaguzi bila kuwa na wagombea?
Jf kuna washirika zaidi ya 350k, ulitakiwa usample walau watu kumi na mamakamu wao ili tuwapigie kura....ila wewe hujafanya hivyo.
Je 2020 ukienda kwenye kituo cha kupiga kura alafu ukakuta wagombea wa urais wapo 50M, uoni huo utakuwa uchauzi wa mata.hira?....na atakaeandaa huo uchaguzi atakuwa ana akili timamu?
Post ya kwanza imefutwa ingawa ilikuwa na ujumbe wa kufanana....siku hizi watu wanajichanganya sana....jana kule MMU kuna mtu aliulizwa swali akajibia kwenye ID nyingine tena ya jinsia tofauti.....Bravo Mkuu kwa kunotice.Mtoa mada na mchangiaji wa kwanza ni mtu 1
kwa hiyo unamaanisha mimi ndio panga boi ??? [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] hongeraMtoa mada na mchangiaji wa kwanza ni mtu 1
1.Hapo tutabebeshwa box hadi migongo ipinde....Mgombea tayari ni rais wa wabeba box kwa hiyo hana sifa ya kugombea urais mwingine.Okey ngoja nimsaidie kuweka majina ya wagombea
1. Nyani Ngabu
Mgombea mwenza Kasinde
2. Kiranga
Mgombea mwenza Heaven Sent
3. The Boss
Mgombea mwenza sister
4. mshana jr
Mgombea mwenza atoto
5. Mr Rocky
Mgombea mwenza Madame B
6.
7.
8.
9.
10.
Kuna ile post uliyoiquote, aliyepost ndiye mtuhumiwa.kwa hiyo unamaanisha mimi ndio panga boi ??? [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] hongera
Ipi hiyo mkuu?Kuna ile post uliyoiquote, aliyepost ndiye mtuhumiwa.
Haha jaji si utatupendelea na Mr wakoOkey ngoja nimsaidie kuweka majina ya wagombea
1. Nyani Ngabu
Mgombea mwenza Kasinde
2. Kiranga
Mgombea mwenza Heaven Sent
3. The Boss
Mgombea mwenza sister
4. mshana jr
Mgombea mwenza atoto
5. Mr Rocky
Mgombea mwenza Madame B
6.
7.
8.
9.
10.
Umeniumiza mbavu zangu wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23]1.Hapo tutabebeshwa box hadi migongo ipinde....Mgombea tayari ni rais wa wabeba box kwa hiyo hana sifa ya kugombea urais mwingine.
2.Kiranga awe rais? nani kasema? je akibadili siku ya uhuru kuwa siku ya kutafuta pembe tatu duara mpaka ipatikane, tutaipata wapi?...pia Kiranga atatumia muda wote wa urais kwa kupinga uwepo wa jina la Makamu wake.
3.Hapo kwa Boss acha kabisa,.....uhuru wa kujieleza utabinywa sana....Hivi mwananchi utajisikiaje pale ambapo Rais ua waziri mkuu anapoulizwa maswali na wabunge alafu yeye anajibu kila swali kwa kusema INTERESTING?
4.Mshana labda akawe rais wa Gambia....iweje tuwe na rais mchawi wakati serikali haiamini uchawi?...Hapa kila mtu atalazimishwa kuwa mchawi na PM atakuwa Kingunge....taifa la kutegemea uchawi badala ya technologia litafilisika haraka sana.
5.Hapa shida ipo kwa makamu wa Rais,....kuna uwezekano akamshawishi Rais ili wahamishe makao makuu ya serekali yapelekwe jukwaa la wakubwa......tutapata wapi pesa ya kuhamisha serekali?
6.Valentina wewe ndo Jaji Lubuvaππππππ
Teh itifaki itazingatiwa... Huu ni uchaguzi huru na wa hakiHaha jaji si utatupendelea na Mr wako
Yes tuanze na Nyani Ngabu....Wamwage sera zao.. Kampeni ipigwe... Urais mwaka mmoja tu... Tupige kura
Sawa ngosha tunasubiri muendelezo kisha maswali yatafata toka kwa wananchi wa Jf....La kwanza ni kuwatafutia bonge moja la festi ledi.
Festi ledi mtayejivunia kuwa festi ledi wenu.
Piti nitazipitia upya sera zote za JF hususan zile zihusuzo kufuta nyuzi za watu, kubadilisha vichwa vya habari vya mada kiholela, na kupiga watu ban pasipo na sababu zozote zile za msingi.
Nitaendelea baadae...