OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Huyo sio Rais wa Federation, ni Rais wa kitivo Cha Elimu!! R.I.P
Tumsubiri kigogo atatu_update.Shida nn
Imeanza kutisha lini? Maana watu walikuwa wanakufa miaka yote, sikuona Tanzia kwa kasi hiiHali inatisha kwa kweli...Poleni sana wafiwa.
Imeanza kutisha lini? Maana watu walikuwa wanakufa miaka yote, sikuona Tanzia kwa kasi hii