TANZIA Rais wa Wanafunzi Ndaki ya Elimu UDOM afariki dunia

TANZIA Rais wa Wanafunzi Ndaki ya Elimu UDOM afariki dunia

Japo hatujui kifo chake kimetokana na nini ila nasema ila JF taarifa za vifo zimekuwa too much wadau mmh!!
 
Vifo vimekuwa vingi hofu imetawala kwasababu hujui kesho itakuwa zamu yako ndugu yako ama wapendwa zako na huzuni kuzingua kutamalaki. Ni kumrudia Mungu tu hamna
 
Pumzika kwa amani lkn pia kusema rais wa serikali ya wanafunzi UDOM sio sahihi, ni sawasawa na blogger mmoja kule Kenya aseme rais wa Tanzania mama Lwakatare aaga dunia. Kuna sehemu wameandika ndaki ya Elimu
Hujui maana ya rais, yaonekana unajua linatumika kumtaja mkuu wa nchi, na kwa ushabiki tayari umewaza tayari cheo cha mkuu wa nchi kimeingiliwa.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Pumzika kwa amani lkn pia kusema rais wa serikali ya wanafunzi UDOM sio sahihi, ni sawasawa na blogger mmoja kule Kenya aseme rais wa Tanzania mama Lwakatare aaga dunia. Kuna sehemu wameandika ndaki ya Elimu
umesoma wapi wewe
 
Back
Top Bottom