Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Yaani hii serikali kuna watu waajabu sana. Yaani wananunua muda kwenye television kumjibu Mdude Nyagali? Yaani hii ni dalili ya woga wa kupindukia. Waseme basi hayo makamasi ya mapapai na mafenesi waliyatoa wapi? Yaani hii ndiyo serikali duniani badala isaidie wataalamu wake inawajaribu kama ibilisi.Anaitwa Yahya Mnung'a yuko clauds tv kwa sasa
Ajichunge,aki mess up atakutana na wasiojulikana nje ya StudioAnaitwa Yahya Mnung'a yuko clauds tv kwa sasa
mi nilidhani vipimo vinapima damu? kumbe vinapima mpaka oil chafu?
Ni ute ute kidogo tu unaochukuliwa kama sampuli.
Kwenye upimaji huenda kukawa na technical problem na solution yake lazima itokee kwenye technical analysis. Sasa unawapowatilia shaka scientist wako na kuingiza siasa za ubeberu na sabotage sioni solution itapatikana vipi. Utakuwa huna wa kumuamini. Wasi wasi wa JPM ungewahusisha WHO na WHO COVID-19 Reference Laboratory Network. Nina imani tungepata majibu sahihi, approach nyingine yeyote itakuwa na shaka. Hivi kweli Nchemba economist "No 1" ndiye wa kuongoza tume? Nauliza tu.Rais wa chama cha wataalamu wa maabara amewataka watanzania kutulia na kusubiri majibu ya uchunguzi wa tume ya Dr Mwigullu Nchemba.
Nchemba ni multpurpose bwashee!Kwenye upimaji huenda kukawa na technical problem na solution yake lazima itokee kwenye technical analysis. Sasa unawapowatilia shaka scientist wako na kuingiza siasa za ubeberu na sabotage sioni solution itapatikana vipi. Utakuwa huna wa kumuamini. Wasi wasi wa JPM ungewahusisha WHO na WHO COVID-19 Reference Laboratory Network. Nina imani tungepata majibu sahihi, approach nyingine yeyote itakuwa na shaka. Hivi kweli Nchemba economist "No 1" ndiye wa kuongoza tume? Nauliza tu.
Sawa bwashee kama he is the best candidate for the job mliyenae.Nchemba ni multpurpose bwashee!
Kwa sasa wizara ya afya iko chini yake!
Kwa nini Mwigulu Nchemba awe ndio wa kuchunguza hilo?Mnung'a anasema ule utafiti wa timu ya Rais Magufuli ulifanyika vizuri na kwa uhakika.
Mtaalamu huyu amesema baada ya kuongea na wataalamu mbalimbali duniani kufuatia utafiti huo wengi wamemueleza kuna tatizo la ubora wa vifaa hata katika nchi zao na hasa hivi vinavyotoka China.
Rais wa chama cha wataalamu wa maabara amewataka watanzania kutulia na kusubiri majibu ya uchunguzi wa tume ya Dr Mwigullu Nchemba.
Chanzo: Clouds Tv
Kwanza kwenye papai hakuna ute, halafu chemical reaction inatokeaje kwenye sampuli tofauti? Ukumbuke kipimo kimekua calibrated kupima specific sample zenye sifa ambazo kipimo itazigundua ndo ifanye kazi sahihi!?. Anyway nadhani hamna corona.Ni ute ute kidogo tu unaochukuliwa kama sampuli.
Ukichukua ute ute kidogo kwenye papai ni ngumu kuutofautisha na ute wa kamasi
Kwanza kwenye papai hakuna ute, halafu chemical reaction inatokeaje kwenye sampuli tofauti? Ukumbuke kipimo kimekua calibrated kupima specific sample zenye sifa ambazo kipimo itazigundua ndo ifanye kazi sahihi!?. Anyway nadhani hamna corona.
Yaani hii serikali kuna watu waajabu sana. Yaani wananunua muda kwenye television kumjibu Mdude Nyagali? Yaani hii ni dalili ya woga wa kupindukia. Waseme basi hayo makamasi ya mapapai na mafenesi waliyatoa wapi? Yaani hii ndiyo serikali duniani badala isaidie wataalamu wake inawajaribu kama ibilisi.