Rais wa wataalamu wa maabara Yahya Mnung'a yupo mubashara Clouds 360 anazungumzia utafiti wa Rais Magufuli

Kwanza kwenye papai hakuna ute, halafu chemical reaction inatokeaje kwenye sampuli tofauti? Ukumbuke kipimo kimekua calibrated kupima specific sample zenye sifa ambazo kipimo itazigundua ndo ifanye kazi sahihi!?. Anyway nadhani hamna corona.
Wewe wa wapi wewe, papai alina utomvu!
Kwahiyo wewe unaamini jana jamaa alikua anadanya taifa na ulimwengu kuwa hawakutest kupima vitu tofauti tofauti
 
Itakuwa mashine iligundua kwamba wameiwekea sampuli fake ili kuisanifu na kwa vile yenyewe ndiyo janja zaidi ikaamua kutoa hayo majibu fake ili kuwakomesha. Ngangari vs Ngunguri.
 
Kwa ninavyojua hakuna Corona ila ni wasiwasi wa watu tu




Napenda kujifukiza
 
T Tume ya Nchemba! Itabidi wakubali kuwa scapegoats kuunga mkono anachotaka mkuu.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Itakuwa mashine iligundua kwamba wameiwekea sampuli fake ili kuisanifu na kwa vile yenyewe ndiyo janja zaidi ikaamua kutoa hayo majibu fake ili kuwakomesha. Ngangari vs Ngunguri.

Sent using LEAGOO M12
 
Majibu ya kipumbavu Sana, alikuwa wapi kuyaongea haya Hadi polisi wapivyogundua madudu? Eti vifaa vibovu Ina maana kwa taaluma yake hawezi gundua hii darubini Ni mbovu Hadi JPM agundue? Basi mpeni PhD ya pili, ovyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…