Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Rais wa Yanga atangaza atakavyo watambulisha Chama na Kibu
Rais wa Yanga amesema watamtambulisha mchezaji mpya ambapo kwa taarifa za ndani ni kati ya Kibu au Chama kabla ya msimu huu kutamatika
Ameyasema hayo katika live ilikuwa katika page ya Instagram ya Ali Kamwe jana jioni ambapo wameacha maswali mengi kwa mashabiki wao na hata wapenzi wa soka nchini je ni mchezaji gani kati ya hawa wawili atatambulishwa ili kutumika katika msimu ujao wa 2024/2025
Wamesema wataweka picha kubwa kwenye jengo kubwa maeneo ya posta ndiyo itakuwa utambulisho wa mchezaji huyo
Vipi mdau na nani anakuja yanga?