Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
ππππππππ ππΌππ πππ πππππ ππΌππΏ πΌπππππΌπππππΌ
Rais wa Yanga Eng Hersi Ally Said amewanunulia tiketi mashabiki wote wa Yanga leo ambao walisafiri Kutoka Tanzania kuja Rwanda kwa ajili ya mchezo wa mkondo wa kwanza wa kufuzu hatua ya makundi Caf champion league dhidi ya Al-Merreihk Kesho.
#Rais #timuyawananchi #daimambelenyumamwikoπ‘π’
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaongea kirahisi kama vile umesafiri na team yakoπ€£Wamefika kule wakakuta viingilio viko juu halafu hawana hela,mashabiki wa Yanga wanashangaza,unaendaje safari bila hela ya ziada?
Vipi wa Simba nao hawana hela?. Punguza kuropoka !!Wamefika kule wakakuta viingilio viko juu halafu hawana hela,mashabiki wa Yanga wanashangaza,unaendaje safari bila hela ya ziada?
Una utahira...Huu upuuzi wa kulilia lilia fungulia mbwa huwezi ukuta unyamani.