Rais wa Yanga awanunulia tickets mashabiki wote wa Yanga walioenda Rwanda

Rais wa Yanga awanunulia tickets mashabiki wote wa Yanga walioenda Rwanda

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
22,719
Reaction score
40,739
π™†π™„π™‰π™‚π™„π™‡π™„π™Š π™π˜Όπ™„π™Ž 𝙀𝙉𝙂 π™ƒπ™€π™π™Žπ™„ π™Žπ˜Όπ™„π˜Ώ π˜Όπ™ˆπ™€π™Žπ™ƒπ˜Όπ™‡π™„π™‹π™„π˜Ό

Rais wa Yanga Eng Hersi Ally Said amewanunulia tiketi mashabiki wote wa Yanga leo ambao walisafiri Kutoka Tanzania kuja Rwanda kwa ajili ya mchezo wa mkondo wa kwanza wa kufuzu hatua ya makundi Caf champion league dhidi ya Al-Merreihk Kesho.

#Rais #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko🟑🟒

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema tu ametoa kwenye zile Nauli zao, unaweka Nauli ya Yotong na picha za Yutong, halafu mnakuja pandishwa Special Hire [emoji1787]

Ni haki Yao kutoka kwenye Nauli za Yutong
 
Wamefika kule wakakuta viingilio viko juu halafu hawana hela,mashabiki wa Yanga wanashangaza,unaendaje safari bila hela ya ziada?
 
Kwmba misukule imefika hadi site halafu nauli ya kuingia ndani haitoshi? Na kweli ingekuwa aibu maana wangejikuta wapo kumi tu uwanjani na huku wameondoka na kosta sabini eti
 
Huu upuuzi wa kulilia lilia fungulia mbwa huwezi ukuta unyamani.
 
Viongozi wa Yanga wanajitambua sana. Wale wa upande wa pili kila siku wanabuni tu mbinu mpya za kuwaibia hela mashabiki wao. Huwezi kuwaona wakichangia chochote. Bla bla tu ndiyo zimewajaa.
 
Aisee atokee mwananchi mmoja anilipie king'amuzi changu cha Azam tafadhali.
212905380821.
 
Kwa mtu aliyewahi kupanda hakuna kulala unasafiri umekunja miguu usiku mzima ukilaza seat kidogo unyooshe mgongo wa siti ya nyuma anaweza akupige bonge la mmbaaao, sasa fikiria kutoka Dar-Rwanda kwenye coaster walahi.πŸ˜‚
 
Wamefika kule wakakuta viingilio viko juu halafu hawana hela,mashabiki wa Yanga wanashangaza,unaendaje safari bila hela ya ziada?
Vipi wa Simba nao hawana hela?. Punguza kuropoka !!
 
Back
Top Bottom